TANZIA: Mzee Kitwana Kondo afariki dunia

TANZIA: Mzee Kitwana Kondo afariki dunia

Wewe ni mtoto mdogo ndio maana humjui
Wasikusumbue akili. Hao hata Kawawa hawajui alikuwa nani. Google siku hizi ina taarifa nyingi tu. Uki google Kitwana Kondo unapata links. Sasa hata ku google hawajihangaishi
 
kama ni kweli.
Pole sana Balozi Ramadhani Dau.
Inalilah wainailaih rajiuon.Hakika sisi wote niwa Mwenyezi Mungu na kwake yeye tutarejea.
 
Wadau Kwema?

Kuna tetesi kua Mbunge wa zamani wa Kigamboni na Meya wa Jiji la Dar es salaam Bwana Kitwana Kondo (KK) amefariki Dunia Mchana huu; kuna mwenye taarifa zaidi ya hii kitu?

Alikuwa amelazwa hospitali ya Hindu Mandal

======
UPDATE:
======

Toka kwa Tunkamanin,

Inna lillahi wainna ilaihi rajiuun.

Mzee Kitwana Kondo, KK amefariki dunia jioni hii katika Hospitali ya Hindu Mandal. Atazikwa kesho 25/5/2017 In Shaa Allah

Wakati wa uhai wake, Kitwana Kondo aliwahi kuwa Mbunge wa jimbo la Kigamboni na Meya wa Jiji la Dar es Salaam.


Ni hivi karibuni alitembelewa na Ndg. Edward Lowassa > Mzee Edward Lowassa amtembelea Mzee Kitwana Kondo hospitali ya Hindu Mandal

Aidha, unaweza kusoma pia > Hotuba ya Al Hajj Kitwana Kondo, Mbunge wa Kigamboni mwaka 1999 Bungeni Dodoma
Kumbe alikuwa bado yupo hai?! rip kk ulitesa sana enzi zako
 
Back
Top Bottom