Kila nafsi ita....Jamani mimi naona sijambo jemakutangaza kua mtu amefariki kama huna uhakika
Kweli mkuu. Kuna post nyingine humu JF inasema Chege Chigunda kafa. Don't announce death until provedJamani mimi naona sijambo jemakutangaza kua mtu amefariki kama huna uhakika
Swahiba wa Mwingi na meya wa zamani wa jiji la Dar. Alivuma sana wakati wa Mwinyi.alikuwa ni nani???
Wewe mtoto mdogoNina Bahati Simfahamu. Poleni Wafiwa.
Mkuu wa majeshi kabla ya uhurualikuwa ni nani???