Ahsante sana mkuu kwa kutuelewesha,mleta mada kashindwa kuandika tukamjua vizuri huyu marehemu.Huyu mzee anaitwa Titus,alikuwa m/kiti Jumuia ya wafanyabiashara mkoa ruvuma,pia ni mkulima hodari wa mahindi mkoa wa ruvuma,anamiliki jengo la kibiasha/ghorofa/hotel maeneo ya stand kuu ya zamani Songea mjini. Pia anamiliki kiwanda cha kutengeneza mifuko/vifungashio maeneo ya Ruhuwiko Songea,Pia ana magodaun makubwa ya kuhifadhia nafaka maeneo hayo hayo ya ruhuwiko Songea.R.I.P mzee Mwilamba,mzee wa watu
Ukitakiwa uweke taarifa zake kamili hapo mwanzo ingependeza.Ukiuliza Matajiri wakubwa mkoani Ruvuma huyo top ten alikua umtoi
tycoon wa kilimo cha mahindi huko ruvuma.Who is this guy?
Sawa sawatycoon wa kilimo cha mahindi huko ruvuma.
Kha!… haya sawatycoon wa kilimo cha mahindi huko ruvuma.
Community journalism?Mkuu unatoa habari kama humu wote ni wa Ruvuma?
Mkuu hiyo picha ni AI.Kuna watu wanajua kilimo ona mahindi yalivyopendeza but Rest in peace Mwamba