TANZIA: MWILAMBA AFARIKI DUNIA

TANZIA: MWILAMBA AFARIKI DUNIA

1000067231.jpg
 
Huyu mzee anaitwa Titus,alikuwa m/kiti Jumuia ya wafanyabiashara mkoa ruvuma,pia ni mkulima hodari wa mahindi mkoa wa ruvuma,anamiliki jengo la kibiasha/ghorofa/hotel maeneo ya stand kuu ya zamani Songea mjini. Pia anamiliki kiwanda cha kutengeneza mifuko/vifungashio maeneo ya Ruhuwiko Songea,Pia ana magodaun makubwa ya kuhifadhia nafaka maeneo hayo hayo ya ruhuwiko Songea.R.I.P mzee Mwilamba,mzee wa watu
Ahsante sana mkuu kwa kutuelewesha,mleta mada kashindwa kuandika tukamjua vizuri huyu marehemu.

Mungu ampe pumziko la amani huyu bro.
 
Kujipa umaarufu na umuhimu tu kwenye maisha ya watu…, huyo mwilamba ndo alikuwa nani sasa?! 😄😄😄🙌🏾
 
Back
Top Bottom