TANZIA: Mwenzetu NJEE amefariki dunia Leo Alfajiri

Status
Not open for further replies.
Kifo hua kinatukumbusha utii na kua wanyenyekevu mbele ya M/Mungu! Poleni wafiwa, lala salama Njee
 
Last edited by a moderator:
Poleni sana familia ya ndugu yetu jamaa yetu na rafiki yetu NJEE na mwana JF MWENZETU,APUMZIKE KWA AMANI,TUWASAFIRI HAPA DUNIANI.
 
Samahani kwa sababu sasa ameshatangulia mbele ya Haki tujuvye jina lake yawezekana tunamfahamu nje ya NJEE
 
Mungu alitoa Mungu ametwaa jina la Bwana Libarikiwe,
Mungu wetu awape amani familia yake, Mungu ailaze mahali pema peponi,
 
Rest in Peace Njee. Ni njia yetu sote kila mtu kwa majira yake. Poleni wanafamilia hasa mke na watoto wake.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom