Tanzia: Mwanamuziki Moses Bushagama (Mez B) afariki dunia

Tanzia: Mwanamuziki Moses Bushagama (Mez B) afariki dunia

King Kong III

Platinum Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
63,446
Reaction score
96,622
Umofia kwenu wana JF,
attachment.php

Mwanamuziki Moses Bushangama maarufu kama Mez B amefariki dunia. Mez B alikuwa mmoja wa Wanamziki wanaounda kundi la Chamber squard, amefariki leo mjini Dodoma.

Habari hizi zimethibitishwa na mama yake mzazi.
 

Attachments

  • mez b.jpg
    mez b.jpg
    32.6 KB · Views: 17,901
"Kama vipi nataka Kwenda nawe au Kama vipi nenda kajiandae, basi Kama vipi twende wote honey twende tuka......". Apumzike kwa Amani Mez b
 
Taarifa kutoka Dodoma zinasema kuwa msanii wa bongo fleva Mez B amefariki dunia muda huu. Alikuwa anaumwa sana homa ya mapafu, mama yake mzazi amethibitisha habari hizi za msiba akiwa Dodoma
 
Mungu ampumzishe anapo stahili!
 

Attachments

  • 1424420013032.jpg
    1424420013032.jpg
    22.1 KB · Views: 3,526
Duuuuh .....watu wanaondoka mapema siku izi!!!! Uuuuwiiiii ...ki kuku ...ule wimbo wake maskini!!!!

Rest in peace kaka.
 
daah, mwingine tena! RIP mwanachemba
 
Back
Top Bottom