Tanzia: Mwanamuziki Moses Bushagama (Mez B) afariki dunia

Tanzia: Mwanamuziki Moses Bushagama (Mez B) afariki dunia

Nasikia alikuwa ana sumbuliwa na kifua kikuu(TB). Na aliishiwa damu..pia alilazwa zaidi ya mara nne
 

Attachments

  • 1424429716729.jpg
    1424429716729.jpg
    19.2 KB · Views: 587
Dah wasinii mbona wanapukutika sana jamani.

Huyu ni mwana-chember Squad mwingine anaondoka...daaaaaah

§kama vipi basi nenda kajiandae kama vipi ingia chumbani kavae au kama vipi twende wote tamashani Honey twende tuka play..§

Ni wimbo mmoja wapo ninao uzimia toka kwa huyu jamaa akishirikina naw Ray c.!!!!

Rip MezB

BACK TANGANYIKA
 

R.I.P MEZ B
 
Last edited by a moderator:
Mwanadamu aliezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi siinyingi nazo zimejaa shida na mateso....!!!!!!
 
Rest in peace to Aaliyah Rest in peace to Left Eye Mez B I'll see ya Just as soon as I die
 
Back
Top Bottom