Nifah
Platinum Member
- Feb 12, 2014
- 34,418
- 82,410
Mkuu, kuna uhusiano gani baina ya ugonjwa wa kifua na wasanii, au kwa kuwa wanatumia pumzi nyingi wakati wa kuimba ?
Hahahaaa. ...jamani!
Mkuu, kuna uhusiano gani baina ya ugonjwa wa kifua na wasanii, au kwa kuwa wanatumia pumzi nyingi wakati wa kuimba ?
....Nimekubali kwamba wewe ni kifaaa uzuri wako wee umepitilizaaaa................, wengi wameumbwaaa lakini wee umeumbikaa aa nijibu hivi we ni binadamu au malaika aa,..........(Temba) maeneo ya kati sasa dah! Kama amechongwaaaa.........!
R.I.P Mez B, salam kwa Ngwear.
Taarifa kutoka Dodoma zinasema kuwa msanii wa bongo fleva Mez B amefariki dunia muda huu. Alikuwa anaumwa sana homa ya mapafu, mama yake mzazi amethibitisha habari hizi za msiba akiwa Dodoma
nimepokea kwa masikitiko makubwa sana habari za kifo cha Mez B.kwanza ni mwana chember squard mwenzangu imeniuma sana na hapa nilipo natokwa na machozi
raha ya milele umpe ebwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani AMINA
acha masihara