TANZIA: MwanaJF Linamo amefiwa na mtoto wake

Pole sana Linamo kwa kuondokewa na mtoto. Mungu awape uvumilivu katika kipindi hiki kigumu cha msiba.
 
FB_20170407_19_55_20_Saved_Picture.jpg
 
Linamo pole sana kwa kumpoteza mtoto.


Huyu ndugu nadhani ameshakuja mara kadhaa hapa jamvini kuhusiana na mwanae kukosa chanjo katika kituo fulani cha afya.


Naweza kusahihishwa!
 
Nafsi ya mtoto ipumzishwe mahali pema peponi.Amina.Pole sana Linamo
 
Back
Top Bottom