TANZIA: MwanaJF Linamo amefiwa na mtoto wake

Wakuu huyu ni member mwenzetu hapa JF amefiwa na mtoto wake leo saa 10 njiani akipelekwa hospitali.
Source. Mimi mwenyewe niko eneo la tukio.
Mungu amfariji katika hichi kipindi kigumu hakika kila jambo jutokea kwa sababu
 
P.K.A mtoto,,, pole LINAMO kwa msiba Mungu akutie nguvu katk kipnd hiki kigumu
 
Kuna watu nawafahamu huku ila wao hawanijui Kuna miss chaga na atoto hii niligundua kutokana na post zao za jf na mitandao mingine kulanda
 
Back
Top Bottom