TANZIA: MwanaJF Linamo amefiwa na mtoto wake

Aiseee watu wanajuana humu

Hivi nikifa mtajua kweli? maana sina anayenifaham humu

Nampa pole Linamo mbele yetu nyuma yake
Kweli kabisa aisee afu tunatumia Id tofauti na majina yetu halisi, hivi nikituma mchango wangu nani atajua kuwa ni mimi wa humu Jf?
 
Pole sana linamo Mungu akufanyie wepesi kwenye kipindi hiki kigumu dear
 
Pole Linamo kwa msiba mzito. Mungu wetu awaite nguvu wewe pamoja na
familia yako. May the soul of our babe rest in eternal peace.
 
Wakuu naomba nitoe shukrani za dhati kabisa kwa niaba ya Linamo.Asanteni Sana kwa pole zenu hakika mmeonesha ushirikiano. Sisi ni mavumbi na kwake tutarejea. Jina la bwana lihimidiwe.
 
Aiseee watu wanajuana humu

Hivi nikifa mtajua kweli? maana sina anayenifaham humu

Nampa pole Linamo mbele yetu nyuma yake
Walio wengi huwa ni hao hao wenyewe ila wanatumia ID mbili tofauti sidhani kama mtu anatakuwa anatangazia watu ID yake huku isipo liwa verified users ambao wanajulikana ila kuna baadhi ambao ni wachache huwa wana share device so wana juana au wakiwa marafiki sana huwa wana ambizana ila ni wachache sana walio wengi huwa ni siri hata wake zao na wapenzi wao hawajui,
 
Back
Top Bottom