Tanzia: Mwanajamvi afariki Dunia.

Pumzika kwa amani mwanajamii Wasaimoni,poleni wafiwa,tunashukuru wenzetu mliotuwakilisha
 

mkubwa
Umefanya la maana sn kuweka picha. Mimi nina picha nyingi sana lakini simu yangu si friendly kuappload, hadi niwe kwenye pc.
Be blessed broda.
 
Nachukua nafasi hii ya pekee kabisa kumpa heshima ya pekee na kumshukuru sana member aitwaye mchakamchaka kwa ushiriki wake Mwanzo Kati hadi Mwisho wa matukio yote ya safari ya mwisho ya rafiki yetu mpendwa Wasaimon.
Member huyu pamoja na ugeni wake ameshiriki kwa hali na mali katika tukio hili.
Ameguswa mno baada ya kuwaona watoto wa3 wa marehemu wakilia sana juu ya kaburi la baba yao.
Ushauri aliotoa ambao nimeuona wa maana sn ni kuwa ameshauri kuwa mbali ya kutoa rambirambi kwa mjane tupange ratiba za kuwatembelea huko mbele ya safari, na si kuwatelekeza moja kwa moja.
mchakamchaka taarifa zako zimefika kwa group, na wanakupenda sana.
 
Last edited by a moderator:
Poleni sana PJ. Kwa kweli moyo wangu unajeruhiwa sana na vifo vya vijana. Pole kwa mjane na watoto, Mungu ni baba wa yatima na mume wa wajane. They will be fine.
 
Sad jus sad! Dah Faraja Ya Mungu pekee ndo yatosha
 

sawa sawa PJ tuko pamoja, you cant imagine nimefurani sana kukutana nanyi leo hii ijapokuwa ni msibani lakini nashukuru mungu, maana ni kitu ambacho nakiona kimefungua ukurasa mwingine kwenye maisha yangu ya kila siku, nimefurahi sana kumuona LIVERPOOL, Pakajimmy, na Filipo! Kaka tuko pamoja sana!
 
Dooh hii post ndo naiona leo...
Eniwei Mungu awape amani na faraja itokayo kwake familia na ndugu na wote walioguswa na msiba wa wasaimon.
Nasi kwa msiba huu Mungu atujalie kuitafakari safari yetu...
 
Last edited by a moderator:
RIP Wasaimon,pole kwa mjane na watoto na ndugu kwa ujumla
 
dah! R.I.P kamanda, umetutangulia tu, tunafuata....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…