Tanzia: Mwanajamvi afariki Dunia.

Tanzia: Mwanajamvi afariki Dunia.

Wadau nipo hapa, ukumbi wa kanisa umejaa mno. Watu ni wengi sana. Ndio napata hapa wasifu wa huyu mdau ambao binafsi sikuujua, inasemekana kuwa alikuwa hachagui mtu wa kuongea naye. Kwa ufupi ni kwamba hakuwahi kuwa na majivuno.
 
Mhm@ so sad, nkamu gwangu waisaimon akhindile kumwanya, hee! Mungu ametoa na ametwaa jina lake libarikiwe
 
Mkuu! Nina dakika chache sana kuwasili hapo mlipo! Nilikuwa mbali ila nimeshatinga town tayari na ndiyo moja kwa moja nakuja eneo la tukio!
Na bila shaka nitakuwa na Filipo; nampitia hapa kwa office yake!
Mtumishi Wetu; Amepata dharura kwani naye alipenda kuwa nasi ila ndiyo hivyo tena!

Wadau nipo hapa, ukumbi wa kanisa umejaa mno. Watu ni wengi sana. Ndio napata hapa wasifu wa huyu mdau ambao binafsi sikuujua, inasemekana kuwa alikuwa hachagui mtu wa kuongea naye. Kwa ufupi ni kwamba hakuwahi kuwa na majivuno.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu! Nina dakika chache sana kuwasili hapo mlipo! Nilikuwa mbali ila nimeshatinga town tayari na ndiyo moja kwa moja nakuja eneo la tukio!
Na bila shaka nitakuwa na Filipo; nampitia hapa kwa office yake!
Mtumishi Wetu; Amepata dharura kwani naye alipenda kuwa nasi ila ndiyo hivyo tena!
Nipo hapa na mkuu IGWE.
Mtatukuta hapa.
 
Last edited by a moderator:
Mungu awatie nguvu na kuwapa faraja ndugu zake wote na hasa sie wanajf wenzake, tangulizeni pole zetu huko Arusha jamani PakaJimmy
 
Last edited by a moderator:
Mungu ilaze roho ya nduguyetu rafiki yetu,mpambanaji mwenzetu Mahali pema peponi,namwanga wa milele umwangazie na astarehe kwa amen,natoapole kwa wanafamilia wote mungu awape nguvu na moyo wa uvumilivu ktk kipindi hiki kigumu.
 
Mwili wa marehemu ndo unafika eneo la makaburi ya Njiro.
 
so saaad... May his soul rest in eternal peace,,. Daaah.. Imenigusa sana hasa baada ya kuona comments zake..he was a kindhearted man.. Mungu amuondolee adhabu za kaburi
 
Back
Top Bottom