Sure!
Mtaa wa Kijenge ulichafuka vilivyo. Kijana alikuwa mfano wa kuigwa. Hatimaye niliwaona akina Tony bana!...was totally depressed!
Nitapata amani sn jf nzima ikiwa ni ya mapakajimmy...dunia itakuwa mahala bora pa kuishi.Kazi nzuri sana Pakajimmy, pole kwa changamoto zote ulizozipata kuhakikisha unatuwakilisha vema ... hope kwa moyo huu mzuri na mkubwa uliouonesha utakuwa umezalisha pakajimmy wengine wengi huku JF (wa kwanza ni mimi) ambao watakuwa wakijitolea zaidi kwa ajili ya wengine. Ubarikiwe sana .....
R.I.P Wasaimon
Mkuu,Pakajimmy,hebu save no yangu 0754348782 kukiwa na majanga kama haya pande za arusha unishirikishe,yani ndio nimeona habari hii this time wakati music ulikuwa hauna kazi siku hiyo,could help a lot,r.i.p wasaimon
Mkuu,
Kumbe tuko pamoja town, na hususan hapa majamvini?
Tunashukuru sana kwa kujiweka sawa kwaajili ya majanga ambayo yanaweza kutokea mbeleni.
Tutakufahamisha, si kwa majanga tu, bali hata kwa mema na ya furaha!
Nishainukuu namba yako.
Nimeshahudhuria shughuli nyingi mno hapa mjini, lakini kwa bahati mbaya kabisa huyu sijabahatika kukutana nae...my Bro, unataka kuniambia huyo MC humjui? hujahudhuria sherehe yoyote hapa mjini ya huyo MC Chizenga? wacha nitulie coz ni thread ya msiba!
Mkuu,
Kumbe tuko pamoja town, na hususan hapa majamvini?
Tunashukuru sana kwa kujiweka sawa kwaajili ya majanga ambayo yanaweza kutokea mbeleni.
Tutakufahamisha, si kwa majanga tu, bali hata kwa mema na ya furaha!
Nishainukuu namba yako.
Nimeshahudhuria shughuli nyingi mno hapa mjini, lakini kwa bahati mbaya kabisa huyu sijabahatika kukutana nae...
Nawajua akina MC Maganga, MC Chinaa, MC Happy, na wengine, huyu sijabahatika kuingia kunako shughuli yake.\
Bila shaka ni ni MBAYAAAAAAAAA!
Thanx Nyamayao.
Ok...OK..OK..!
vP hujapata updates za huko mahala, kama nilivyokuPM?
Crossing my fingerz then.my Bro, nimemcal ninaemtegemea kwa asilimia zote yupo porini net mbaya sana, tukawa hatusikilizani, akani sms nimcal kesho, so kesho ntacheki na wewe muda wowote nikishawasiliana nae plz.