Tanzia: Mwanajamvi afariki Dunia.

R i p , poleni sana wafiwa, pole pia kwetu,,,,, tumempoteza mwana jamvi mwenzetu,
 
Nafikiri ni wakati muafaka sasa kwakila mwanajamvi kuwa na mahusiano ya kweli na baadhi ya wana Jamvi wengine behind Our Fake identities ili at least tuweze kusaidiana na kupeana taarifa sahihi na muhimu za matukio kama haya. JF is a community. R.I.P WASAIMON.
 
RIP wasaimon




UPDATE1.
Mpaka sasa hivi (0940am)wanasubiriwa Baba zake wakubwa na wadogo ili wafanye kikao cha maamuzi ya mahala pa kuzika(kuna option mbili, kuzika Arusha au Kusafirisha kwenda kwao Mbeya).
Pia aliyekuwa Mwajiri wake yuko njiani tokea Nairobi, anakuja kusaidiana na familia kupanga hatima ya marehemu.
​

UPDATE 2.
MAZISHI NI
JUMAMOSI (19/01/2013) HAPAHAPA ARUSHA, NADHANI KWENYE PUBLIC CEMETRY NJIRO. MTAKAOWEZA TAFADHALI TUWE PAMOJA SIKU HIYO.[/QUOTE]
 
Last edited by a moderator:
Alikuwa na ID ngapi??

RIP
Irrelevant,Childish, Nincompoopish, sluggish, crookish, absent minded question!
Wrong timing, insensitive, perpatratish kind of question!
Jifunze kukua, panga chumba, kukaa na wazazi hadi umri huo utabaki kuwa mrembo tu!
 
Enzi za uhai wake aliitwa Saimon Anthony! samahani kama nitakuwa nimevunja sheria za jamvi!
Ndiyo umevunja coz hakuagiza kuwa akifariki jina lake litajwe hadharani.
 
Rip wasaimon brother wote njia ni moja tu ila muda tu ndio umetofautishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…