Msiba uko Kijenge Kati, Bondeni Bar. Ukifika kwenye hiyo Bar unaendelea na kibarabara mojakwa moja hatua kama50 tu unakuta nyumba ya msiba, ambako ni kwa baba yake mzazi! Ni rahisi sana kufika.
samahani sijaweza kusoma post zote ili nijue kama ulishaelekeza msiba ulipo! ni kijenge maeneo gani PakaJimmy!
Sad news. Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la Bwana libarikiwe. Dah kwa sababu nipo Arusha nitajitahidi nihudhurie mazishi.