LiverpoolFC asante sana kwa taarifa mkuu nitajitahidi aise japo ratiba imebana vibaya sana
Last edited by a moderator:
LiverpoolFC asante sana kwa taarifa mkuu nitajitahidi aise japo ratiba imebana vibaya sana
RIP Waseaimon. Zako mbele zetu nyuma.Tutakuenzi kwa kuendeleza mapambano ya kuwaondoa wakoloni weusi hawa mpaka kielewePoleni sana wanajamvi and RIP Wasèaimon
kimsiba zaidi jamani, hizo ishu za kujitambulisha, ni maamuzi ya mtu tu nadhani wengi wetu tunajua kwamba kuna hiyo arusha wing, kila mtu atafanya kwa wakati wake.
Arusha ni wamoja sana aiseee!!!!