Tanzia: Mwanafunzi wa UDOM afia juu ya kifua cha mwanamke wakati wa Tendo pendwa

Daah...R.I.P kijana umekufa ukiwa kiwandani katika ufyatuaji....Nimekumbuka mbali Second master wangu huko Advance alkuwa na msemo wake aktaka kuusema mpk miwani anavua kwanza then anaanza 'Kijana kama unampango wa kumkomoa demu wako getto siku hiyo utajikomoa mwenyewe' Daah japo umri alkuwa sawa na mshua wangu ila huo msemo sikutarajia kabisa....
 
Nimebahatika kuudhuria huu msiba hapa Magu, Kijana wamemsafirisha leo kwenda kumzika kwao Baba yake Mugumu Serengeti, Baba yake ni askari Polisi maarufu sana hapa Magu, Kijana alifia Hotel maarufu hapa Magu inaitwa Raydance ipo barabara kuu ya Mwanza Musoma kama unaingia stand ya Magu, Na alikufa kweli akiwa Katika tendo la ndoa baada ya kuwa ametumia viagra na kilevi pia, Alikuwa akifanya hilo pambano lisilo na mdhamini na mmoja wa wahudumu wa hotel hii!
Mugumu mjini au wapi niende msiba wa komandoo
 
Marehemu kafa akilitumikia taifa. amekufa kishujaa sana. watu wa dodoma hayo mambo why? kuleni tu vizuri na fanyeni mazoezi achaneni na hayo mambo jamani.
MTU ninaependa post zake JF ni ww mkuu,nimesoma nyuzi zako zoote tangu unajiung humu.
 
Bila picha siwezi kuamini
ni kweli kabisa mimi nipo magu huyu dogo alifia gest inaitwa spear usiku wa jumamosi tarehe 4..... baada ya kunywa bia na kujisahau akanywa viagra, ni kijana wa askari mmoja hapa magu na amekufa na umri wa miaka 26 alimaliza UDOM mwaka jana na alikuwa anafanya kazi compuny ya wachinaa magu.
 

Attachments

  • 23132013_490174568048645_354862730568996843_n.jpg
    23132013_490174568048645_354862730568996843_n.jpg
    24.1 KB · Views: 65
Ni hatareeee sana pengine hatuwezi laumu dada zetu nao wanawapa strees sana vijana wengi pengine jamaa aliahidiwa kitambo kikubwa vijana nikujitambua kuacha kutumia vitu usivyojua madhara yake
 
Habari

Kuna taarifa ya kusikitisha! Mmoja wa wahitimu wa udom 2017 amefariki dunia usiku wa kuamkia leo akiwa nyumba ya kulala wageni.

Chanzo:
Alitumia viagra vidonge vitatu (3).

Kifo chake kilitokea baada ya mwenzake jinsia ya kike akiwa ameshindwa kumudu shughuli ya tendo la ndoa kulingana na dawa hizo kuwa zaidi ya kiwango husika.

Kwao na marehemu ni Magu mkoani Mwanza.

Rai yangu:
Vijana tujaribu kuwa waangalifu hususani na dawa za aina hii, na wengi huwa wanadhani wanataka kukomoa.

Tubadilike katika hili, elimu sio darasani pekee.

Nb:
Wale wa mambo ya m-congo kuweni makini pia.
Kiustaarabu sio vyema kusema kitivo alichosomea wala jina lake.
Niwatakieni asubuhi njema.

Ahsanteni
Nani aliyekuambia kuwa marehemu alikunywa viagra? Acha kufanya conclusions nyepesi nyepesi kwa tukio nzitonla mauaji. Waache polisi wafanye kazi yao. Huyo demu anahusika kwa mauaji hayo ya kukusudia au ya kutokukusuidia kama yale anayohangaika nayo Lulu. Kuna wanawake mkiwa kwenye hiyo game, unalalamika kuwa imetosha lakini yeye ndoo anaongeza maafundi ambayo yanaweza kupelekea kifo chako hata kama hukutumia Viagra. Hiyo game ina kanuni zake ambazo kama hazikuzingatiwa inaweza kupelekea kifo cha mmoja wao (wa kike au wa kiume) walio kwenye game hiyo.

If this story is true RIP Kamanda mhitimu wa UDOM. Hii iwe fundisho kwa sisi ambao bado tuko hai kwamba kifo tunatembea nacho wakati wote 24/7. Hatujui kitatukuta lini na kwa mazingara yapi. Kinaweza kikatukuta tukiwa hata kwenye maraha kama yale kilichomkuta huyo kamanda. Hivyo tunapaswa kuwa prepared kiroho na kimwili wakati wote. Dini zote zinatufundisha kuwa kabla ya tendo la ndoa tunapaswa kuswali na kujiweka mikononi ya Muumba katika safari ya tendo hilo. Kwa wakiristo suala hiyo huhitimishwa na alama ya msalaba na kwa waisilamu huhitimishwa na bisimillah (kama sijakosea).
 
Back
Top Bottom