poleni sana wafiwa na mleta mada, RIP jf member, we are very sorry for that, mods, sijui kuna utaratibu gani kwa tukio kama hili kwa sisi kama members?
Kwa kuwa kila nafsi hai itaonja mauti nichukue fursa hii kumtakia pumziko la milele mwenzetu aliyekwisha kutwaliwa na niwape pole ndugu, jamaa na marafiki walioguswa kwa namna moja ama nyingine na msiba huu...