TANZIA: Mwana JF amefariki dunia

TANZIA: Mwana JF amefariki dunia

Ngalikivembu

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2010
Posts
1,959
Reaction score
876
Napenda kutoa taarifa hii rasmi kwa wana JF wote na Mods kwa ujumla kuwa tumeondokewa na mwanachama mwenzetu ambaye alijiunga na Jukwaaa hili tangu Octoba 2010.

Alikuwa anatumia ID ya Kanjunju. Hivyo tunaomba tumwombee. Alifariki dunia katika hospitali ya Mkoa Ruvuma wiki iliyopita.

RIP Kanjunju.
Taarifa hii ni kwa mujibu wa ndugu wa karibu sana.

Mods tunaomba katika listi yenu mumweke inactive.

Kutoka post ya Mtwa Mkulu haya ni maelezo ya ziada;
Ulichokisema ndio kilichotokea. Ni kweli kabisa na hata wazazi wa mwanaume kwanza hawakuhudhuria siku ya ndoa yao. Na hata alipofariki wazazi wake walikuja siku ya pili baada ya kuzika. Historia ya ndoa yao ni kuwa imedumu miezi minne tu kamili na kufariki dunia. Huenda baada ya maelezo haya wengi mtamjua.
 
Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya marehemu,
 
Back
Top Bottom