Na yeye kukaa Guest ya Mkiristo mshenzi si hoja, ilimradi alilipa na kulala chumba chake. Tiba
Inakuwa na alama ya kipande cha mwezi?Elimu zote zipo ndani ya Uislaam, ndio maana unasikia Islamic Banking au Kadhi Court. Waendeshaji wamesoma na vyeti vyao havina alama ya msalaba kama cha Saint Augustino au Tumaini. chakii
"Baraza Kuu la Waislam wa Tanzania litakuwa ndiyo chombo pekee cha kuongoza Waislamu na litakuwa na kauli ya mwisho katika kulinda, kutetea na kueneza Uislam na nadharia yake Nchini kwa mujibu wa Qur-aani na Sunna."
Mkuu hiyo ni nukuu ya katiba ya bakwata.
Mimi najua Shehe mkuu ndiye kiongozi wa Waislamu hapa Tanzania kama wewe ni kundi la IS and Alshabab shauri yako
Muda wote aliwahimiza Waisilamu wasilalamike kuwa wakristu wanapendelewa bali nao wajitahidi kusoma Elimu ya dunia ili waweze kuajiliwa kama wengine. Pia amekuwa mtu wa kutatua migogoro ya waisilam kama msikiti wa Mtoro n.k. Kwa waislam wengi amekuwa mbaya lakini ni mtu aliyetaka kusuruisha migogoroNi kweli uyasemayo mratibu wangu mstaafu, Mzee Simba ni mfano wa kuigwa na wapenda amani wote.
Mungu amweke panapostahili.
Tumetoka kwa M Mungu na kwake sote tutarejea. M Mungu amsamehe madhambi yake na amlipe kwa mema yake. Amin.tanzania hatuna sheikh mkuu tuna kiongozi wa tawi la CCMBAKWATA
Mimi nimekuwa katika kamati ya maridhiano ya dini zote. Hata Wiki hii nina shughuli kama hizo. Naelewa mchango wake katika kutatua migogoro ya imani. Kumjua mtu sio lazima usome nae.Umesoma nae madrasa ama chuoni? Poleni sana wafiwa.
Tumetoka kwa M Mungu na kwake sote tutarejea. M Mungu amsamehe madhambi yake na amlipe kwa mema yake. Amin.tanzania hatuna sheikh mkuu tuna kiongozi wa tawi la CCMBAKWATA
May our soul Rest In Peace comrade.
Inakuwa na alama ya kipande cha mwezi?
Hivi ni mipango ya mungu au mitihani tu ya kidunia? Nguzo kuu za Lowassa zinadondoka katika kipindi muhimu kama hiki.alianza capt.komba akaja Grand Mufti..next???
Hawa walikua watu wajuu kabisa katika fitna za kumpeleka Ngoyai ikulu
Naona shida yako ni kutukana ukristo, na tatizo hapa sio dini ya mmiliki wa hiyo hoteli, tatizo ni sifa mbaya ya hiyo hoteli.
Tiba