Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
Pole sana kwa familia.
Nakumbuka mama mkwe alilazwa Muhimbili siku si nyingi zilizopita.
R.I.P mama mkwe...
Ni kweli mkuu aliwahi kulazwa muhimbili lakini baadae walimhamishia Arusha hospitali ya St. Thomas.