Tanzia: Mkurugenzi Mtendaji wa Delightfulbakes, Jeniffer Tarimo afariki dunia

Jamani Dada Jenifer.....Pumzika kwa Amani dada.
Poleni familia na wafiwa wote.
 
Matatizo ya upumuaji

Jr
Hivi ninyi mnao shangaa tatizo la upumuaji shule mlienda kusomea ujinga??
Kwa hesabu ndogo ya drs II unaona kabisa kwasasa tumezaliana sana(rejea mhishimiwa sana si alisema tuzaliane) hivyo ongezeko la watu ni kubwa.Kwa hali hiyo pumzi imekuwa ni gombania goli,wale wenye maradhi mengine hushindwa kuhema(kwasababu ya uchovu) na hivyo hufa.#the fittest survive# !!
(Alisikika mtaalam mmoja akieleza kwa kujiamini)

IF:X=WanaUFIPA+wanamaendeleo,Y=WanaLUMUMBA.
THUS:X=MABADILIKO
Y=WACHUMIA TUMBO!!
 
Back
Top Bottom