babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,644
- 3,288
Msanii wa vichekesho toka Cheka Tu ajulikanae kwa jina la Boss Martha afariki dunia. Martha amefariki Asubuhi ya leo baada ya kuugua ghafla kwa kipindi kifupi. Inaelezwa kuwa alikuwa akiugua uti wa mgongo uliopelekea kupata homa kali.
Na itoshe kusema,,,Apumzike kwa Amani