Tanzia: Mchekeshaji Boss Martha afariki dunia

mmangO

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
430
Points
500

mmangO

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
430 500
Msanii wa vichekesho toka Cheka Tu ajulikanae kwa jina la Boss Martha afariki dunia. Martha amefariki Asubuhi ya leo baada ya kuugua ghafla kwa kipindi kifupi. Inaelezwa kuwa alikuwa akiugua uti wa mgongo uliopelekea kupata homa kali.

Na itoshe kusema,,,Apumzike kwa Amani
Diih ebana imebid nimtafute insta huyu manzi ndo kavuta daaah.....nilikuwa sijui Kama aliachaga Mambo ya kuimba imba gospel akaingia kwa comedy...R.I.P Martha shilole dah kitambo Sana
 

Forum statistics

Threads 1,343,478
Members 515,067
Posts 32,786,026
Top