Tanzia: Mchekeshaji Boss Martha afariki dunia

babumapunda

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
4,644
3,287
Msanii wa vichekesho toka Cheka Tu ajulikanae kwa jina la Boss Martha afariki dunia. Martha amefariki Asubuhi ya leo baada ya kuugua ghafla kwa kipindi kifupi. Inaelezwa kuwa alikuwa akiugua uti wa mgongo uliopelekea kupata homa kali.

EELZBY7XkAAu3hF.jpg

Na itoshe kusema,,,Apumzike kwa Amani
 
Apumzike kwa amani. mie namjuaga Joti na wale akina Senga tu kumbe wachekeshaji ni wengi hivi!!
 
Back
Top Bottom