Tanzia: Mchekeshaji Boss Martha afariki dunia

Bongo Kama mbele! Wasanii wengi kinyama!
Ndo nimemjua baada ya kufariki, R I P cute kama wanavyokuita.
 
Sikuwahi kumsikia ila apumzike kwa amani.

Nimeona ndugu wakisema hakuwa na mtoto wakati mboso anasema wana mtoto mmoja.

Bongo ukifa ndio kila mtu anataka ajifanye alikuwa mtu wako wa karibu tena kwa kuleta drama za hovyo
 
Back
Top Bottom