TANZIA: Mch. Getrude Rwakatare amefiwa na mumewe!

TANZIA: Mch. Getrude Rwakatare amefiwa na mumewe!

KING COBRA

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2011
Posts
2,782
Reaction score
877
Mzee Kennedy Rwakatare (Mume wa Getrude Rwakatare) amefariki dunia juzi saa tano usiku Bukoba Mkoani Kagara wakati akijiandaa kusherekea Pasaka!!

Hata hivyo Mama Rwakatare alikuwa haishi na mume huyo.

rwakatare.JPG

Pichani anaonekana Mchungaji Dr. Getrude Rwakatare kulia akiwa na mumewe wakati wa harusi ya mtoto wao wa mwisho Bw Mutta Rwakatare alipokuwa akifunga ndoa siku ya juzi jumamosi tarehe 26.05.2012.

Ndoa ilifungwa katika kanisa la Mikocheni na Harusi ilifanyika katika ukumbi wa Mlimani City.
 
Hii dunia ina mengi! Na huu unafki wa kujificha nyuma ya kivuli za MUNGU ndo utatumaliza kabisa.

MUNGU AMUANGAZIE MWANGA WA MILELE.
 
APEPE (Apumzike Pema Peponi) Mzee Rwakatare; Bwana alitoa, Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe!
 
Kama huyu mama kashindwa kusamehe mwenzi wake basi mama anatudanganya ktk yale yanayohusu mahubiri yake yanayohusu upendo!
 
Sote tu safarini hakuna wa kubaki ila kutangulia ndio maumivu, hatuna jinsi, naona kama tumekopeshwa uhai ila hatukuambiwa tulipe lini, tunashtukizwa tu.
 
Sasa mafundisho ya ndoa alikuwa anayaconduct namna gani?hii ni tatizo la mwanamke kuwa na kipato kikubwa kuliko mmewe manake atataka akukanyage kichwani.
 
Back
Top Bottom