Tanzia: Madame B na Kijino wamefiwa na Baba yao

Poleni sana Madame B na Kijino mimi sikujua kabisa nimeambiwa na R jana tu jamani
Mungu awape nguvu na ujasiri katika kipindi hichi kigumu kwenu cha kuondokewa na mzazi, Mungu afanyike faraja kwa wafiwa wote na awarudishe salama dar.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa Jinalake lihimidiwe
 
watu8 my daddy nini kinakufanya uikumbuke thread yangu???

unajua mwaka uliutaja kumpoteza baba, ndio mwaka huo huo nami nilimpoteza wangu....
then hatuja kaa sawa mwenzetu Madame B naye kampoteza baba yake...inasikitisha sana aisee!!
 
Last edited by a moderator:
my sincere condolences kwa familia ya marehemu. May God give you strength in these trying times
 
Asanteni sana, sana sana kwa pole zenu, tunashukuru tumezika salama na kesho twaweza kurudi dar, shukrani ziwaendee wana jf wote waliowakilisha kwenye msiba, mtambuzi, mathematics, figganiga, rutashobolwa, remy na wengine ambao nimewasahau kwa majina.
Na pia tunashukuru rhama nicas mtei kwa kuwa nac bega kwa bega mpaka lushoto, mwenyezi mungu akubariki, na wana jf wote kwa kutupa pole,
 
thanks oo Kijino
 
pamoja sana mkuu. mia
 
ahsante sana Kijino. Sote tunapashwa kumshukuru Mungu kwa kila jambo.. Tuko pamoja wakati wote.
 
Last edited by a moderator:
Madame B and Kijino

im_so_sorry_for_your_loss_glitter.gif
 
Last edited by a moderator:
Punzika kwa amani Mzee wetu George, Jina la Bwana Yesu lihumidiwe!
Poleni sana wafiwa, tuko pamoja katika kipindi hiki cha msiba!
 
Poleni sana wafiwa. Mwenyezi Mungu akupeni nguvu ya kustahimili machungu katika kipindi hiki kigumu. Ndo nimeiona leo taarifa hii lakini naamini hakuna kuchelewa katika kufariji maana msiba hauna mwisho.
 
Back
Top Bottom