Tanzia: Maalim Rashid Ayoub Mshana afariki akiwa mahabusu

Ulikisoma hicho kitabu na kuona hayo maneno?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ustadhi AbdulShakur Maulid/
Katika ule ukurasa wa 52 Sheikh anasema,
ANASEMA MWENYEZI MUNGU (Subuhaanahu
wata’alaa)
”…. Na humo watapata wanawake walio takasika
(Na kila mabaya na machafu)….” (Quran 2;25)
Na kila watakapokuwa wanaingiliwa na waume zao watakuwa ni mabikira. Bikira hii haishi kwa kuingiliwa, isipokuwa inakuwa mpya, hatoki damu wala kusikia maumivu yoyote.
Mtu atapewa nguvu za watu 100 katika unywaji na uingiliaji; kisha ataongozewa nguvu zingine zaidi, mme atamwingilia mke wake kama alivyokuwa akimwingilia hapa Duniani, lakini peponi ni kwa muda mrefu, ni miaka 80 ya huko akhera, bila kufika kileleni (Kutokwa shahawa) Ifahamike siku moja ya akhera ni sawa na mika 1000 ya huku duniani. Kwa hisabu ya huku duniani ni miaka 28,000,000, Miaka Milioni 28!
Wakati wote huo wanasikia ladha nzuri mno na raha kubwa ajabu! Hizo ndizo neema za Allah peponi!
Basi, Hakika tutafute Radhi za ALLAH na kila mara tumuombe ALLAH atujalie tuwe miongoni mwa watu wema AMIN. (Mwisho wa kunukuu).
Sheikh Kitabu hiki amekuja kukirudia upya kwa kuweka namba zake, mwanzoni alipoandika hakuweka contact, waislamu walimshauri aweke contact, ndo akaamua kuweka, ila maneno ni yale yale, Nilipokuwa natafakari ahadi hizi, nikawa najiuliza maswali mengi, mwanamke huyo bikira yake ambayo haishi, atakuwa anaingiliwaje?
Mtu mmoja atapewa nguvu za wanaume mia, katka kula na pia katika kumuingilia mwanamke, tena isitoshe, Wanawake wako 72, Na mwanamke mmoja anaingiliwa kwa muda wa mika 80 kwa hisabu ya miaka ya akhera, ambayo kwa hapa duniani, ni sawa na miaka milioni 28 Mwanaume bado yupo juu ya kifua cha mwanamke, hao wengine 71 wapo sijui chumbani, wanasubiri mwenzao amalize zamu yake ya kuingiliwa, na wao waingiliwe, sasa kama mwenzao mmoja tu, anaingiliwa kwa miaka hiyo milioni 28, bila mwanaume kumwaga mbegu za uzazi, (Na haijulikani atamwaga lini) sasa hao wanawake wengine watakuja kuingiliwa lini?
Huyo wa 72 zamu yake itamfikia lini ikiwa tu mwenziwe wa kwanza anaingiliwa kwa mika milioni 28 bila mzee kufika magogoni?
Waislam wanafundishwa kuwa, muislamu akiua, (akijitoa muhanga) malipo yake, ni hayo ya wanawake, nikaanza kupata picha kuwa, ndiyo maana waislamu, kuua kwao, sio ajabu, wala wao kufa siyo jambo kubwa, wanatamani kuua na wao wauawe, ili wawahi kwenda huko, kupewa wanawake hao, maana wamea ahidiwa hivi.
Quran 9:111. Hakika Mwenyezi Mungu amenunua kwa Waumini nafsi zao na mali zao kwa kuwa wao watapata Pepo. Wanapigana katika Njia ya Mwenyezi Mungu - wanauwa na wanauwawa. Hii ni ahadi aliyo jilazimisha kwa Haki katika Taurati na Injili na Qur'ani. Na nani atimizae ahadi kuliko Mwenyezi Mungu? Basi furahini kwa biashara yenu mliyo fanya naye. Na huko ndiko kufuzu kukubwa.
Malipo yo baada ya kuua ni haya
ﻣُﺘَّﻜِﺌِﻴﻦَ ﻋَﻠَﻰ ﺳُﺮُﺭٍ ﻣَّﺼْﻔُﻮﻓَﺔٍ ﻭَﺯَﻭَّﺟْﻨَﺎﻫُﻢ ﺑِﺤُﻮﺭٍ ﻋِﻴﻦٍ
Quran 52:20. Wakiegemea juu ya viti vya fahari vilivyopangwa safu, na tutawaoza wanawake weupe wenye macho makubwa (ya vikombe)
Hadithi ya Abuu Said Al Khudryi (r.a) amesema, Mtume (S.a.w)
Alitoka katika Idd ya Adh-ha au ya Fitri kwenda Al-Musalla (Mahali pa kusalia) akapita kwa wanawake, akawaambia, “Enyi wanawake toweni sadaka kwani nimeoneshwa ninyi ndiyo wengi zaidi motoni”
Wakauliza, “Kwa sababu gani EWE Mtume wa Allah?” Akawajibu, “Mnazidisha sana laana na hamuwafanyii wema waume zenu. Sikumuona miongoni mwa wapungufu wa akili na dini kama nyie, Mwanaume mwenye busara anaweza kupotoshwa na mmoja wenu” Wakauliza EWE mtume wa Allah nini upungufu wa dini yetu na akili yetu?” Akasema, “Hivi hamjui kuwa ushahidi wa wanawake wawili ni sawa na ushahidi wa mwanaume mmoja?” Wakajibu, “Hilo tunalifahamu” Aksema. “Huo ndio upungufu wa akili. Hivi hamjui mwanamke anapokuwa na Hedhi hasali na hafungi?” Wakajibu, “Hilo tunalifahamu” Akajibu, Huo ndiyo upungufu wa Dini yake” (BUKHARI, HADITHI NA. 301, JUZUU 1)
Nawaonea huruma sana Wanawake wa Kiislam maana hawana chao.
Muhammad yeye alifundisha kuwa dalili za kiyama, ni kutingishika kwa matako?
Hadithi ya Abuu Huraira (r.a) Kuwa Mtume (S.a.w) amesema, Hakitasimama Kiyama mpaka matako ya wanawake wa kabila la Dausi yatingishike kulizunguka Dhil-al-Khalaswa.
Dhil-al-Khalaswa, ni sanamu ambalo walikuwa wakiliabudu kabla ya Uislamu” (BUKHARI, HADITHI NA. 232, JUZUU YA 9)
Shalom,
 
Ugaidi ni nini?
je mahakama imewakuta na hatia?
Marekani na urusi wanaua watu syria Iraq n.k.je wao sio magaidi?
Hivi kwanini mara nyingi na mara zote ni upande wa dini ya kiislamu zaidi ndio hukumbwa na visanga vya kujihusisha na ugaidi?

MArehemu kaenda wacha akakutane na maswaaba wake na wanawake wenye macho makubwa mazuri ambao kama watanyoosha kidole kimoja tu hapa duniani nasikia wanaume wote tungeweza acha wake zetu.

sikejeli ila ni maneno ambayo ni ahadi kutoka kitabu chao kitukufu

anyway poleni wote mlioguswa na msiba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulikisoma hicho kitabu na kuona hayo maneno?

Sent using Jamii Forums mobile app
ALLAH ANAPENDA WANWAKE WA KIARABU NA SIO WAAFRIKA WEUSI
Katika makala hii, tunawazungumzia wanawake wa Peponi
Katika Simulizi za Waislamu, Hurulayn ni mwanamke mwenye macho makubwa. Kwa kawaida, wanaelezewa kama viumbe wenye rika moja, macho ya mahaba, macho ya -aibu-aibu, Weupe kama Wahabeshi au Waarabu, watwaharifu au tuseme ni wake wa Peponi wasiojua machafu.
Hawa ni wanawake wa Kibinadamu na Kijini ambao wataingia Peponi baada ya kuumbwa upya katika maisha ya Akhera. Hawa ni wanawake walioahidiwa Waislamu hasa Mashahiid baada ya kufa kwao. Baadhi ya simulizi zinasema kila mmoja atapata mahurulayn 72.
Hata hivyo, Qur’an inasema kuwa waumini wote watakaoingia Peponi watapewa mke zaidi ya mmoja miongoni mwa Mahurulayn. Idadi ya Mahurulayn 72 inatokana na Hadith ambayo isinadi yake ina walakini (ambayo haina wapokezi wa kuaminika, na ambayo haitokani na Qur’an).
Katika Qur’an, Mahuralyn wanaitwa “marafiki” wanaochunga macho yao”, wenye macho yenye haya, makubwa, ya kurembuka, na ya mahaba, macho ya mfano wa lulu, mazuri, ya kuvutia.
Allah ameahidi kwenda kuwaoze Waislam hoa wanawake 72 Mahurulaini, kwa hivyo jiwe hili ni kwa ajili ya ahadi hizo, nikasema, hii ni ahadi iliyokuja mika 615 baada ya Kristo, ambayo Muhammad ametoa ahadi kwa waislamu kuwa, siku ya mwisho, watakwenda kuozwa wanawake wenye kupendeza wenye macho makubwa kama mayai ya mbuni na maziwa yao kama mabakuli.
ﺇِﻟَّﺎ ﻋِﺒَﺎﺩَ ﺍﻟﻠَّﻪِ ﺍﻟْﻤُﺨْﻠَﺼِﻴﻦَ
Quran 37:40. Isipokuwa waja wa Mwenyeezi
Mungu waliosafishwa.
ﺃُﻭْﻟَﺌِﻚَ ﻟَﻬُﻢْ ﺭِﺯْﻕٌ ﻣَّﻌْﻠُﻮﻡٌ
41. Hao ndio watapata riziki maalumu.
ﻓَﻮَﺍﻛِﻪُ ﻭَﻫُﻢ ﻣُّﻜْﺮَﻣُﻮﻥَ
42. Matunda na wao wataheshimiwa.
ﻓِﻲ ﺟَﻨَّﺎﺕِ ﺍﻟﻨَّﻌِﻴﻢِ
43. Katika Bustani zenye neema.
ﻋَﻠَﻰ ﺳُﺮُﺭٍ ﻣُّﺘَﻘَﺎﺑِﻠِﻴﻦَ
44. Juu ya vitanda vya fahari wakikabiliana.
ﻳُﻄَﺎﻑُ ﻋَﻠَﻴْﻬِﻢ ﺑِﻜَﺄْﺱٍ ﻣِﻦ ﻣَّﻌِﻴﻦٍ
45. Wakizungushiwa kikombe chenye (kinywaji)
safi.
ﺑَﻴْﻀَﺎﺀ ﻟَﺬَّﺓٍ ﻟِّﻠﺸَّﺎﺭِﺑِﻴﻦَ
46. Cheupe chenye ladha kwa wanywao.
ﻟَﺎ ﻓِﻴﻬَﺎ ﻏَﻮْﻝٌ ﻭَﻟَﺎ ﻫُﻢْ ﻋَﻨْﻬَﺎ ﻳُﻨﺰَﻓُﻮﻥَ
47. Hakina. madhara, wala hakiwaleweshi.
ﻭَﻋِﻨْﺪَﻫُﻢْ ﻗَﺎﺻِﺮَﺍﺕُ ﺍﻟﻄَّﺮْﻑِ ﻋِﻴﻦٌ
48. Na pamoja nao watakuwa wanawake wenye
macho mazuri matulivu.
ﻛَﺄَﻧَّﻬُﻦَّ ﺑَﻴْﺾٌ ﻣَّﻜْﻨُﻮﻥٌ
49. Hao wanawake kama mayai (ya Mbuni) yaliyohifadhiwa.
 
alishikiliwa kwa kesi ya ugaidi na ishu nikuwa tena waliokamatwa wote ni waisilamu so najiuliza why ndugu hawa ndio huapia zaidi katika haya mambo?
UGAIDI ulitokea wapi? Mbona hatujasikia kwenye vyombo vya habari.. Mbona hatujasikia maafa ya huo UGAIDI, au alifanya UGAIDI nchi jirani?
 
Mfumo watu wanafunga watu bila utaratibu upo Tanzania tu watu wanakaa mahabusu kesi zao zinapigwa danadana rais yupo ni unyama huu na walaaniwe maisha yao yote wanaofanya hivi
Hizi kesi za tuhuma za ughaidi zinawaweka watu ndani muda mrefu sana, sio Tanzania pekee.
Huko Guantamo Bay kuna watuhumiwa wamezuiliwa miaka mingi na wengine wamejiuwa au kufia jela.
Huko nchi za kiarabu wako watu wengi tu wamefia mikononi mwa vyombo vya sheria.

Hii sio shida ya Tanzania pekee.
Ughaidi ni tishio kwa watu wasio kuwa na hatia.
Angalia matukio ya Kibiti, au kule Kenya Al-Shabab wanavyo uwa, kule Mtwara mpakani na Msumbiji kuna ndugu zetu waliuwawa wakiwa mashambani wanajitafutia ridhiki.
 
Hivi kwanini mara nyingi na mara zote ni upande wa dini ya kiislamu zaidi ndio hukumbwa na visanga vya kujihusisha na ugaidi?

MArehemu kaenda wacha akakutane na maswaaba wake na wanawake wenye macho makubwa mazuri ambao kama watanyoosha kidole kimoja tu hapa duniani nasikia wanaume wote tungeweza acha wake zetu.

sikejeli ila ni maneno ambayo ni ahadi kutoka kitabu chao kitukufu

anyway poleni wote mlioguswa na msiba
Tokaa .mla nguruwe wewee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binadamu amefariki halafu kuna binadamu nashindwa hata kuelewa huwa wana imani gani ya kukejeli wengine tena kwa dhihaka kubwa sana huku wakijinasibu wana dini
Very strange indeed
Kweli watu wana chuki tena zisizo na faida kwao
Nawaombea mbadilike huko nyuma ya keyboard maana Mitanni hamuonyeshi hii chuki


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
RIP Maalimu Mshana.
Tunapiga kelele katiba mpyaaa wenyewe wanasema ni manyumbu.
Sheria zilizopo ni za kikoloni, zilitumika ili kukandamiza watu wasiwe huru.
Watawala wakarithi hizo sheria kuzidi kukandamiza ili waendelee kutawala.
Uchochezi, ugaidi , wameongeza zingine ili watu wakae kimya.
Weka ndani kwa sheria ipi??
Katiba mpya ndilo jibu la dhuma.
Poleni wafiwa!!
 
Serikali yetu haiwezi kushika mtu kma huyo bila hatia maana serikali haina dini,Ila mtu anae tishia aman ni lazma awekwe kizuizini kwanza hadi hali ikawe sawa kama hawana hatia watakuwa tu huru maana hakuna ubaya tatizo ni muda umekuwa mrefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Northen Empire wenzio masheikh wamekula nguruwe Moskow kimya kimya maana huko ni diety bora na mkate.
Torati ina vifungo vingi Bwn Yesu alikuja ili kuihariri torati ili tuishi kwa neema.
Bwn Yesu ndio kweli na uzima, mengine ni upotofu.
Tushirikiane tujikomboe tuache chuki na dharau kwa wengine, tupendane tusiitane makafiri ili tupone.
 
Hizi kesi za tuhuma za ughaidi zinawaweka watu ndani muda mrefu sana, sio Tanzania pekee.
Huko Guantamo Bay kuna watuhumiwa wamezuiliwa miaka mingi na wengine wamejiuwa au kufia jela.
Huko nchi za kiarabu wako watu wengi tu wamefia mikononi mwa vyombo vya sheria.

Hii sio shida ya Tanzania pekee.
Ughaidi ni tishio kwa watu wasio kuwa na hatia.
Angalia matukio ya Kibiti, au kule Kenya Al-Shabab wanavyo uwa, kule Mtwara mpakani na Msumbiji kuna ndugu zetu waliuwawa wakiwa mashambani wanajitafutia ridhiki.
Kweli unayoyasema, Mkuu.. lakini hapa kwetu TZ huo UGAIDI umetokea wapi?! Mbona hatujaona watu au sehemu kuripuliwa na mabomu, au watu kujitoa mhanga kwa kujiripua..

Tunachokiona hapa kwetu ni POLISI au watu WASIOJULIKANA wakiwateka raia wa kawaida wenye mawazo tafauti na UTAWALA au wanasiasa wa UPINZANI..

Watanzania wenye imani ya Kiislamu wako tabuni sana, kuna wale kutoka Zanzibar wanaojiita UAMSHO nao wamewekwa ndani bila ya kuhukumiwa..!!
 
Northen Empire wenzio masheikh wamekula nguruwe Moskow kimya kimya maana huko ni diety bora na mkate.
Torati ina vifungo vingi Bwn Yesu alikuja ili kuihariri torati ili tuishi kwa neema.
Bwn Yesu ndio kweli na uzima, mengine ni upotofu.
Tushirikiane tujikomboe tuache chuki na dharau kwa wengine, tupendane tusiitane makafiri ili tupone.
Waislamu wanamkubali sana Yesu, katika Quran Yesu ametajwa mara 25, Mohamad mara 2..

Nguruwe sio waislamu tu wameharamishwa kula, Wayahudi hawali Nguruwe, Yesu ni Myahudi alikuwa hali Nguruwe..

Wafuasi wa Yesu wamekatazwa kula Nguruwe, Soma Walawi 11:8

Waislamu hawali Nguruwe, Wafuasi wa Yesu hawali Nguruwe, Yesu mwenyewe hakula Nguruwe,..

sasa wewe unakula Nguruwe ukiitwa KAFIRI unakasirika nini?? KAFIRI Maana yake ni yule mtu asiefata maamrisho ya Mungu,kama unakula Nguruwe wewe ni KAFIRI tu, usikasirike ukiitwa hivyo
 
"INNA LILLAHI WAINNA ILAYHI RAJIUUN"

Jumuiya na Taasisi za Kiislamu zaTanzania zinatangaza kifo cha Maalim Rashid Ayoub Mshana aliyefariki dunia akiwa mikononi mwa Vyombo vya Dola Jumamosi January Tarehe 25, 2020.

Maalim Rashid ni Mmoja wa Mahabusu akitokea Mtwara Tanzania, walioshikiliwa na Vyombo vya Dola na ni miongoni mwa mamia ya Waislamu walioko Gerezani kwa kesi za kidini wakituhumiwa kwa kosa la Ugaidi lakini kesi zao hazijapatikana ushahidi na wala hazitangazwi kwenye vyombo vya habari.

Kama walivyokuwa Mahabusu wengine wakikabiliwa na hali mbaya za kiafya amefariki wakati ambao wenzake wanaendelea kuugua.

Mwili wa Maalim Rashid mpaka mchana wa leo ulikuwa bado upo mikononi mwa vyombo vya Dola na hatimae mida ya Alasiri ya leo imekabidhiwa kwa Waislamu kwa ajili ya mazishi.

RATIBA YA MAZISHI
Marehemu ataandaliwa na kuswaliwa katika Msikiti wa Kichangani Magomeni mida ya saa 6:55 Adhuhuri Kichangani. Aidha, mnamo majira ya saa 7:15 mwili wa marehemu utaelekezwa katika Makaburi ya Mwinyi Mkuu kwa ajili ya Mazishi.

WITO
Tunaomba wale wote walioguswa na msiba huu kuhudhuria. Pia, tunaomba upatapo taarifa hii mfikishie mwingine ili walau apate nafasi ya kutabaruku japo kwa kugusa Jeneza hili linaloingia katika historia kubwa.

Wabilahi Tawfiq.

"HAKIKA SOTE NI WA ALLAH NA MAREJEO YETU NI KWAKE"

Sheikh Ponda Issa Ponda.
Huyo alikuwa anahamasisha ugaidi wasingeweza kumkamata bila kosa. Hii ndio komesha Yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom