Tanzia: Maalim Rashid Ayoub Mshana afariki akiwa mahabusu

Kuna mtu hunu alihadithia hilo tukio la kuchomolewa msikitini kwa ugaidi. Pole zao. Rest in peace Maalim
 
Ila sikupenda ile tabia ya kuua na kumwagia Tindikali mapadri. Hapo ilionesha hata hawajui wanapigania nini hao jamaa zetu. Anyway alale pema peponi marehemu
 
Tunaongelea mtu alietutoka duniani kuwa na adabu na busara.Nadhani Imani yako pia haikufundishi hivyo.
Hivi kwanini mara nyingi na mara zote ni upande wa dini ya kiislamu zaidi ndio hukumbwa na visanga vya kujihusisha na ugaidi?

MArehemu kaenda wacha akakutane na maswaaba wake na wanawake wenye macho makubwa mazuri ambao kama watanyoosha kidole kimoja tu hapa duniani nasikia wanaume wote tungeweza acha wake zetu.

sikejeli ila ni maneno ambayo ni ahadi kutoka kitabu chao kitukufu

anyway poleni wote mlioguswa na msiba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Innalilah....Mola ampunguzie adhabu ya kaburi...
Ifike mahali taasisi za kiislam ziungane zitetee waislam bila unafiki... siyo zishindane kupokea tende mwezi wa Ramadhan na kutangaza sikukuu za Eid...

Everyday is Saturday...............:cool:
 
Hivi kwanini mara nyingi na mara zote ni upande wa dini ya kiislamu zaidi ndio hukumbwa na visanga vya kujihusisha na ugaidi?

MArehemu kaenda wacha akakutane na maswaaba wake na wanawake wenye macho makubwa mazuri ambao kama watanyoosha kidole kimoja tu hapa duniani nasikia wanaume wote tungeweza acha wake zetu.

sikejeli ila ni maneno ambayo ni ahadi kutoka kitabu chao kitukufu

anyway poleni wote mlioguswa na msiba
Unafiki unawatafuna
 
yaani wamemmaliza mchana kweupee alafu wanawadanganya danganya waislamu…………alafu na bado waislam wanaendelea kuichagua CCM???
 
Tunaongelea mtu alietutoka duniani kuwa na adabu na busara.Nadhani Imani yako pia haikufundishi hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ndio atarudi?
acha unafiki kafa sababu ya ugaidi sio magonjwa wala nini kama asingekumbwa na hayo na kupelekwa polisi hadi leo angekuwa anasaidia familia yake

kafa kizembe unaacha familia na ukoo unahuzunika kwa upumbavu tu
 
Mzee ni lini unaona mshabiki wa liver akiisifia man u? Ishu za hao watu ni ngumu kwa sababu serikali haitaki hata kesi zitangazwe, pili ni muda mrefu umepita ila watu hawatiwi hatiani, ndio maana kuna watu wanaamini kuna uonevu unafanyika
kuna mambo yanapelekwa mahakamani na kuna mambo serikali inayakomesha kabisa

so kuwa muelewa unapoihusisha serikali katika maamuzi yake
 
Huyu Amefanya UGAIDI gani??au ugaidi wake kuwa muislamu ??
alishikiliwa kwa kesi ya ugaidi na ishu nikuwa tena waliokamatwa wote ni waisilamu so najiuliza why ndugu hawa ndio huapia zaidi katika haya mambo?
 
Hivi kwanini mara nyingi na mara zote ni upande wa dini ya kiislamu zaidi ndio hukumbwa na visanga vya kujihusisha na ugaidi?

MArehemu kaenda wacha akakutane na maswaaba wake na wanawake wenye macho makubwa mazuri ambao kama watanyoosha kidole kimoja tu hapa duniani nasikia wanaume wote tungeweza acha wake zetu.

sikejeli ila ni maneno ambayo ni ahadi kutoka kitabu chao kitukufu

anyway poleni wote mlioguswa na msiba
Ulikisoma hicho kitabu na kuona hayo maneno?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom