Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,238
Usihukumu maana kazi ya hukumu anayo mmoja tu naye ni ahlla
Poleni sana ndugu jamaa na marafiki na wanachama
Poleni sana ndugu jamaa na marafiki na wanachama
RIP Mungu awape faraja familia lkn kitendo alichokifanya Tulia mbeya kilaaniwe
Watu Wa Historia Naomb Kujua Maeneo Ya Morogoro Kuja Pwan Mbona Uwa Kuna Ajari Nyingi Tatizo Uwa Ni Nin?
HILI NI PIGO KWA TAIFA
Mkuu kwani RPC Mutafungwa kahamishiwa wapi?
Hapana ni pigo LumumbaHILI NI PIGO KWA TAIFA
Kesho ni siku nzuri ya kutoa sadaka kwa majibu ya papo kwa papo,bado yule bibi kijana aliyekuwa amekaa mbele ya jenezaAlikuwa anatokea Mbeya kuzika Jeneza hewa la Chadema bwana akamtwaa akiwa Moro. Sasa walau lile Jeneza limepata kitu cha kuweka ndani yake!
Asante kwa taarifa, edit hilo neno Mkuu, huyu ni Katibu, kwenye chama, Katibu Mkuu ni mmoja tuu, wengine wote ni makatibu.View attachment 1212907
Kiongozi huyo ndugu Joel Kafuge amepatwa na mauti mkoani Morogoro kutokana na ajali ya gari .
Taarifa hii imethibitishwa na RPC mpya wa Morogoro kamanda Hamisi Issa
Bwana alitoa na Bwana ametwaa , jina la Bwana lihimidiwe
=====
Katibu Mkuu wa CCM Wilaya ya Ilala, Bw. Kafuge Joel amefariki dunia kwenye ajali ya gari iliyotokea leo mkoani Morogoro. RPC Morogoro Hamisi Issa amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.
Alikuwa anafanya tambiko la jeneza kule Mbeya. Kaweka na msalaba kabisa mkuu! Katoka Mbeya kufanya siasa za kihuni!Asante kwa taarifa, edit hilo neno Mkuu, huyu ni Katibu, kwenye chama, Katibu Mkuu ni mmoja tuu, wengine wote ni makatibu.
Hizi ajali hizi... , zitatumaliza kwa kutukuchukulia wapendwa wetu, japo ajali nyingine sio ajali za kawaida, zinaweza kuwa ajali za karma.
RIP Katibu wa CCM Wilaya ya Ilala, Bw. Kafuge Joel.
Bwana Alileta, Bwana Ametwaa, Jina lake lihimidiwe.
P
HILI NI PIGO KWA TAIFA
SIYO PIGO KWA TAIFA.
NI PIGO KWA CHAMA CHAKE.
KAMA ILIVYOKUWA KWA SHAMBULIO LA DODOMA.
WALISHANGILIA WAKAJUA HAPONI,
ALIPOIMARIKA WAKAPOKA UBUNGE.
TUMEFIKISHWA HAPO,
KWAO SAFI, KWETU NI PIGO LA WOTE!!!!!!!!!!!!!!! WAPI BANA.
Daaah RIP my former Galanos Boys High School TeacherView attachment 1212907