Tanzia: Katibu wa CCM wilaya ya Ilala afariki kwa ajali ya gari Morogoro

Alikuwa anatokea Mbeya kuzika Jeneza hewa la Chadema bwana akamtwaa akiwa Moro. Sasa walau lile Jeneza limepata kitu cha kuweka ndani yake!
Kesho ni siku nzuri ya kutoa sadaka kwa majibu ya papo kwa papo,bado yule bibi kijana aliyekuwa amekaa mbele ya jeneza
 
View attachment 1212907

Kiongozi huyo ndugu Joel Kafuge amepatwa na mauti mkoani Morogoro kutokana na ajali ya gari .

Taarifa hii imethibitishwa na RPC mpya wa Morogoro kamanda Hamisi Issa

Bwana alitoa na Bwana ametwaa , jina la Bwana lihimidiwe

=====

Katibu Mkuu wa CCM Wilaya ya Ilala, Bw. Kafuge Joel amefariki dunia kwenye ajali ya gari iliyotokea leo mkoani Morogoro. RPC Morogoro Hamisi Issa amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.
Asante kwa taarifa, edit hilo neno Mkuu, huyu ni Katibu, kwenye chama, Katibu Mkuu ni mmoja tuu, wengine wote ni makatibu.

Hizi ajali hizi... , zitatumaliza kwa kutukuchukulia wapendwa wetu, japo ajali nyingine sio ajali za kawaida, zinaweza kuwa ajali za karma.

RIP Katibu wa CCM Wilaya ya Ilala, Bw. Kafuge Joel.
Bwana Alileta, Bwana Ametwaa, Jina lake lihimidiwe.
P
 
Alikuwa anafanya tambiko la jeneza kule Mbeya. Kaweka na msalaba kabisa mkuu! Katoka Mbeya kufanya siasa za kihuni!
 
HILI NI PIGO KWA TAIFA

SIYO PIGO KWA TAIFA.

NI PIGO KWA CHAMA CHAKE.

KAMA ILIVYOKUWA KWA SHAMBULIO LA DODOMA.

WALISHANGILIA WAKAJUA HAPONI,

ALIPOIMARIKA WAKAPOKA UBUNGE.

TUMEFIKISHWA HAPO,

KWAO SAFI, KWETU NI PIGO LA WOTE!!!!!!!!!!!!!!! WAPI BANA.
 
Inavyoonekana chuki kati ya Watu NA Watu zitokanazo NA tofauti ya itikadi za vyama vya siasa huko nyumbani Tanzania ni kubwa sana, kiasi kufikia hatua ya watu kuombeana vifo???
 
jeneza ni safari ya mwisho, na jeneza halifanyiwi mizaha.
kuna jamaa yetu alidai anaanda sehemu yake ya kuzikwa, alitoa pesa za kukwaa tu mambo mengine tumemalizia wafiwa.
raha ya milele
umpe ee bwana...
 
View attachment 1212907

Kiongozi huyo ndugu Joel Kafuge amepatwa na mauti mkoani Morogoro kutokana na ajali ya gari .

Taarifa hii imethibitishwa na RPC mpya wa Morogoro kamanda Hamisi Issa

Bwana alitoa na Bwana ametwaa , jina la Bwana lihimidiwe

=====

Katibu Mkuu wa CCM Wilaya ya Ilala, Bw. Kafuge Joel amefariki dunia kwenye ajali ya gari iliyotokea leo mkoani Morogoro. RPC Morogoro Hamisi Issa amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.
Daaah RIP my former Galanos Boys High School Teacher
 
Back
Top Bottom