Tanzia: Katibu wa CCM wilaya ya Ilala afariki kwa ajali ya gari Morogoro

Alikuwa anatokea Mbeya kuzika Jeneza hewa la Chadema bwana akamtwaa akiwa Moro. Sasa walau lile Jeneza limepata kitu cha kuweka ndani yake!
acha uzwazwa....dumila na mbeya wapi na wapi.
 
View attachment 1212907

Kiongozi huyo ndugu Joel Kafuge amepatwa na mauti mkoani Morogoro kutokana na ajali ya gari .

Taarifa hii imethibitishwa na RPC mpya wa Morogoro kamanda Hamisi Issa

Bwana alitoa na Bwana ametwaa , jina la Bwana lihimidiwe

=====

Katibu Mkuu wa CCM Wilaya ya Ilala, Bw. Kafuge Joel amefariki dunia kwenye ajali ya gari iliyotokea leo mkoani Morogoro. RPC Morogoro Hamisi Issa amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.
Alikuwa Katibu wa CCM Ilala akahamishwa...
 
Umefurahi?
 
Umejibu kindezi kweli.Kipande kuanzia wapi mpaka wapi?Mkoa wa Morogoro ni mkubwa.Eti kipande cha pale hakipo vizuri,cha kwenda SUA au Solomoni Mahlangu?Au kwenda Bigwa?
Kile kipande cha pale hakipo vizuri alafu kinadanganya sana kama gari ni mpya au liko vizuri unajisikia kukanyagia tuu na barabara haina level kuona mbele mbali kwa urefu
 
Watu Wa Historia Naomb Kujua Maeneo Ya Morogoro Kuja Pwan Mbona Uwa Kuna Ajari Nyingi Tatizo Uwa Ni Nin?
Ni eneo ambalo idadi ya magari yanaoelekea upande mmoja na yanayotokea upande mwingine ni mengi. Mpishano wa magari ni mkubwa, probability ya kutokea ajari ni mkubwa pia.

Pili ni sababu za kisaikolojia za madereva. Wengi wakifika Morogoro kutokea mikoani au nje ya nchi huona "tayari" wameshafika Dar mwisho wa safari. Umakini hupungua kea wanaoingia na uzembe huongezeka wanapotoka Dar kuelekea Moro kwa sababu ya haraka za kuwahi wanakokwenda.

Hakuna Uchawi, wala majini, sababu ni hizo.
 
Back
Top Bottom