Tanzia: Johanes Kanani apata ajali na kufariki

Screenshot_2017-08-09-08-20-02.png
 
Daahh... I have to write this with pains

Nilikuwa katika mishe zangu majira ya saa6 usiku nikiwa river side karibu na daraja. Kwa nilichoshuhudia katka ajari hii ni cha kusikitisha na kuumiza mno

Dereva wa boda alikuwa akitokea ubungo mataa kuelekea buguruni na roli likiwa uelekeo sawa, dereva wa boda alitaka ku- overtake roli ili aje aingie kulia avuke upande wa pili wakati hawako mbali na roli, bahati mbaya siku za mwisho zikifika huna pakukwepea. Walijikuta wapo katikati ya roli lililo wavamia na kuwaweka uvunguni na boda kutupwa mbali. dereva wa lori hakuwa na makosa kwa kuwa alishtuka na kuwakuta wakiwa uvunguni na baada ya hapo aliikwepa boda na kutokomea wakati jamaa wetu huyu na dereva wakiwa hawatamaniki. Kichwa hakitamaniki. ubongo ulitapakaa chini (i was there) niliumia sana na siku amini maana ni tukio la kwanza kulishuhudia katika maisha yangu. Dereva na jamaa wetu huyu maisha yao yalihitimishwa pale. Polisi walikuja na gari zao mbili walikusanya miili na kuokota ubongo wa jamaa wetu na kuuweka kwenye mfuko(i was so pain) bad enough jamaa alikuwa na laptop pamoja na kadi za harusi. Ndio leo naona wanapost humu kwamba alikuwa mwana familia.

KAKA UMETANGULIA SISI TUTAFUATA. SAFARI NI MOJA,NJIA TOFAUTI. MBELE YAKO NYUMA YETU. PUMZIKA KWA AMANI.

AMINA.

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
Shukrani kwa ufafanuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora mleta mada hasitaje ID ya marehemu ili watu wasijue maoni yake na pia hii isaidie mengi kwenye maisha ya ndugu zake pia kwa aliyoyaandika humu.

R.I.P Johanes
 
Wanajamii wenzangu hamna haja ya kulumbana humu hebu tupange jinsi ya waliopo dar wahudhurie na michango tunatuma kwa nani. Mliopo msibani hebu leteni namba hata ya mzazi wake au kaka yake yaan kwa ufupi ndugu wa karibu ili kila mtu atoe alichonacho na sio kuanza malumbano. Mwenyezi mungu amlaze mahali pema peponi ndugu yetu.
 
Inauma sana, kazi ya Mungu haina makosa, Mungu atabaki kuwa Mungu, Raha ya Milele umpe ee Bwana na Mwanga wa Milele umuangazie apumzike kwa Amani.
 
Ni kweli hamuandiki mambo ya kusikia Je ni haki kuruhusu thread itrend hadi Page ya 27 kwa kuleta Jina la Mtaani na Picha ya Marehemu na kutuaminisha kuwa ni Member wa JF? Ligitimacy ya JF ipo wapi kuruhusu hili jambo kuendelea Mkuu
Kumbe marehemu si member JF??

Maajabu basi haya...

RIP Marehemu
 
Tumefiwa na member mwenzetu Johanes M Kanani alipata ajali usiku wa kuamkia jana alikuwa abiria kwenye bodaboda ajali ilitokea saa saba usiku river side ubungo jumapili ndiyo siku aliyo mvalisha Pete mchumba wake na tarehe 20 mwezi huu wa nane ndio ingekuwa siku ya harusi yake RIP Johanes View attachment 561049
65ca434cff3afbfa683a8ed4b0041679.jpg

View attachment 561052

Hapo akiwa na mchumba wake baada ya kumvalisha pete

Sent using Jamii Forums mobile app
nimeona fb mtu kumbe ni wewe mkuu pole sana
 
Back
Top Bottom