figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,890
Jaji Mstaafu Elias E. Kazimoto wa Mahakama Kuu ya Tanzania amefariki leo Februari 17, 2020 katika Hospital ya St.Bernard Dar es Salaam.
Kabla ya kuteuliwa kuwa jaji wa Mahakama kuu mwaka 1986 aliwahi kuwa Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzia mwaka 1978 mpaka 1985