TANZIA: Jaji Mstaafu Robert Kisanga afariki dunia

TANZIA: Jaji Mstaafu Robert Kisanga afariki dunia

Retired judges Damian Lubuva and Barnabas Samata said competence and outstanding work made Judge Robert Kisanga a special person in the dispensation of justice.

He said those traits will make the departed Judge to be remembered in the history of judiciary in Tanzania.

The two judges separately told The Citizen on Wednesday, January 24, that Judge (rtd) Kisanga has left huge memories in the legal and judiciary history.

Judge Lubuva named the late Judge Kisanga among people who were the real experts of law and who established the court of appeal in the country.

He said Judge Kissanga was an expert in the law profession who had a strong stand who upheld ethics in his profession.

“Personally, I remember Judge Kissanga because he was my neighbour for a quite long time. Secondly, the first day I reported for work together with retired judges Joseph Warioba and Barnabas Samatta, we found him at the office as the senior lawyer, he welcomed us and assisted us to embark on our jobs,” he said.

For his, part Judge Samata named Judge Kisanga as the person with a firm stand who ensured that justice prevailed.

“He prioritized work than anything. He was quick is assisting someone who was eager to get comprehensive details on certain issues related to the legal profession,” he said.

A number of leaders, including President John Magufuli, have sent their condolencemessages following the death of Judge Kisanga.

Family spokesperson, Dr Onesmo Kisanga, said for the last four years Judge Kissanga has been fighting cancer until his death at Regency Hospital.

He said during his sickness, he travelled to India for intensive management and treatment.

"His condition became serious in the last two weeks, his doctor advised his admission at the hospital for close monitoring of his health until Monday when he was taken to Intensive Care Unit (ICU) until 6:30 pm yesterday when he died,” he said.

According to Dr Kissanga the family was expected to have a meeting to debate burial procedures arrangements.
 
Majaji wa Kangaroo courts za chama cha kikomunisti waliokuwa wana rubber stamp whims and fancies za Nyerere.

Nchi hii ina majaji wawili tu waliokuwa wanaweza kuongea kwa besi mbele ya Nyerere, Lugakingira na Mwalusanya.
 
Fani ya sheria ilikuwa na wanasheria mahiri wa enzi izo kama vile Murtaza Lakha, Warioba, Lubuva, Kisanga, Nyalali, Mkono Nyange, Lamwai, Marando, Chenge,Samata na mwingine yule mhindi mtanzania wa kigoda cha mwalimu nyerere jina limenitoka. Hakika wanazuoni hawa wamefanya kazi zao kwa weledi kiasi kwamba tulivutiwa na fani ya Sheria. Lakha namkumbuka wakati ule wa kesi ya uhaini. Maswali yake kama saa ngapi, dakika ngapi, alivaa nini mmmh. Rest In Peace Mheshimiwa Kisanga.
 
Fani ya sheria ilikuwa na wanasheria mahiri wa enzi izo kama vile Murtaza Lakha, Warioba, Lubuva, Kisanga, Nyalali, Mkono Nyange, Lamwai, Marando, Chenge,Samata ~na mwingine yule mhindi mtanzania wa kigoda cha mwalimu nyerere jina limenitoka~. Hakika wanazuoni hawa wamefanya kazi zao kwa weledi kiasi kwamba tulivutiwa na fani ya Sheria. Lakha namkumbuka wakati ule wa kesi ya uhaini. Maswali yake kama saa ngapi, dakika ngapi, alivaa nini mmmh. Rest In Peace Mheshimiwa Kisanga.

Prof,Issa Shivji
 
R.I.P
Hakika ulikua mfano bora wa wasomi wa sheri
Tumepoteza watu wawili mhimu sana ktk sekta ya Sheria wew na aliyawahi kuwa mwanasheria wa Lyatonga mrema mwaka 1995
Mbele yenu nyuma yetu
 
Fani ya sheria ilikuwa na wanasheria mahiri wa enzi izo kama vile Murtaza Lakha, Warioba, Lubuva, Kisanga, Nyalali, Mkono Nyange, Lamwai, Marando, Chenge,Samata

Hao majaji waliokuja baada ya Waingereza walikuwa absolutely worthless.

Warioba, Lubuva, Kisanga, Samatta, Nyalali na wengine wengi ambao hujawataja kina Augustino, Kaganda, Ramadhani, Manning, Makanja, Makame, Mihayo, Mnzavas, Mrosso, Msumi, Manento, wote hawa kama wangekuwa na weledi wangekuwa wanaandika ruling za kupinga na kupindua mfumo Kangaroo wa mahakama za Tanzania. Walikuwa wanaruhusu mtu akamatwe kwenye ngazi za mahakama baada ya kushinda kesi, vyuoni hakakujifunza double jeorpady?

Juzi RPC wa Dodoma ameendesha kesi ya jinai mbele ya camera mchana kweupe, kamuuliza Nabii Tito, "UTARUDIA TENA? JIBU NDIO AMA SIO, UTARUDIA TENA?"

Jaji Mkuu said nothing, badala yake eti anawasihi wanasiasa wasiingilie mahakama, lakini kwa polisi na kwa serikali anaufyata. Spineless bumblers.
Ni hawa majaji wa Nyerere kina marehemu Kisanga ndio wametufikisha hapa, walikonyezea jicho mfumo huu uendeele, huwezi kuwatetea, walishindwa kulinda Katiba ya Nchi. The scale of travesty of our Kangaroo judiciary is breathtaking.

Jaji Lugakingira and Mwalusanya were an exclusive exception, ndio peke yao walikuwa na balls za kusimama usoni mwa Nyerere kumwambia this Kangaraoo law you steamrolled through parliament flies in the face of the Constitution.
 
Hao majaji waliokuja baada ya Waingereza walikuwa absolutely worthless.

Warioba, Lubuva, Kisanga, Samatta, Nyalali na wengine wengi ambao hujawataja kina Augustino, Kaganda, Ramadhani, Manning, Makanja, Makame, Mihayo, Mnzavas, Mrosso, Msumi, Manento, wote hawa kama wangekuwa na weledi wangekuwa wanaandika ruling za kupinga na kupindua mfumo Kangaroo wa mahakama za Tanzania. Walikuwa wanaruhusu mtu akamatwe kwenye ngazi za mahakama baada ya kushinda kesi, vyuoni hakakujifunza double jeorpady?

Juzi RPC wa Dodoma ameendesha kesi ya jinai mbele ya camera mchana kweupe, kamuuliza Nabii Tito, "UTARUDIA TENA? JIBU NDIO AMA SIO, UTARUDIA TENA?"

Jaji Mkuu said nothing, badala yake eti anawasihi wanasiasa wasiingilie mahakama, lakini kwa polisi na kwa serikali anaufyata. Spineless bumblers.
Ni hawa majaji wa Nyerere kina marehemu Kisanga ndio wametufikisha hapa, walikonyezea jicho mfumo huu uendeele, huwezi kuwatetea, walishindwa kulinda Katiba ya Nchi. The scale of travesty of our Kangaroo judiciary is breathtaking.

Jaji Lugakingira and Mwalusanya were an exclusive exception, ndio peke yao walikuwa na balls za kusimama usoni mwa ,Nyerere kumwambia this Kangaraoo law you steamrolled through parliament flies in the face of the Constitution.

Asante umenikumbusha hawa wanasheria nguli wahenga wa enzi ya magazeti ya Uhuru na Mzalendo na RTD:-Mnzavas, Mrosso, Msumi, Manento
 
Back
Top Bottom