Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 16,547
- 41,060
Kila wakati nimefikiria niandike nini ili kuelezea hisia zangu lakini sipati neno halisi.
Nakumbuka mara ya mwisho kuwa nawe ni ulipotoa mhadhara pale Msimbazi Catholic Church Centre kama mjumbe wa Chama cha wanataaluma wa Kanisa.
Ninaamini umetimiza wajibu wako wa kuwepo hapa Duniani, umeacha alama iliyo njema kila ulipopita. Namwomba Mungu wa Rehema, pale ulipopungukiwa akusamehe kwa kutazama yale mazuri yaliyompendeza.
Wanafamilia, namwomba Mungu wetu mfariji awapeni moyo wa unyofu ili kuyapokea mapenzi yake. Amina.
Sent using Jamii Forums mobile app