TANZIA TANZIA: Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino Ramadhani afariki dunia

Tumuache marehemu apumzike kwa amani. Maana mwisho wa siku, kifo ni kifo tu. Yeye ametangulia, na sisi tutafuata. Hakuna mwanadamu atakaye kiepuka kifo. Huu ndiyo ukweli mchungu.
Hapa issue sio kumfuatafuata marehem katika safari yake ya milele laa hasha hapa issue nikupewa habari za uongo juu ya kinajiri nchini kumbuka kupata habari sahihi ni haki yetu/ yangu kikatiba na wala sio usumbufu kwa marehem

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulitaka aseme amefariki kutokana na matatizo ya upumuaji? Huyu ni Mzee wetu tunamheshimu, tumwache apumzike kwa amani na azikwe kwa heshima anayostahili. Bwana alitoa ma Bwana ametwaa, jina lake libarikiwe
Lakini huyu mzee si ndiye aliyetunyima Wagombea binafsi.... Independent candidates!!? RIP Jaji.
 
Kwani kufa kwa korona ni aibu?
Hapana Mkuu, ila vyanzo vya taarifa vinasema aliugua muda mrefu, na kwa hawa wazee wetu ni kweli wana magonjwa mengi ya uzeeni, kisukari, pressure n.k si unajua umri ndio umeenda viungo vimechoka.

Sasa kama una chanzo kingine cha taarifa kuhusu mauti ya mzee wetu tushirikishe.

Sisi wengine wazazi wetu wamezeeka sana na ni wagonjwa, tunahofu wakifa mtasingizia covid ili tusiwazike kwa heshima. Hamtutendei haki nyie "covic 19 propagandist"
 
Ila hili janga la Sasa limekuwa ka kumsukuma mlevi vile hasa kwa wagonjwa waliogua mda mrefu na wenye bp, sijui visukari, ndo Mana yatupasa kuwa makini ukiwa na watu wa hivo kuwakinga kwa sababu ya immunity, mie nilipo staki hata kukutana na ndugu watu wazima maana kwa trend ya huu ugonjwa you never know. Mnazareth,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila hili janga la Sasa limekuwa ka kumsukuma mlevi vile hasa kwa wagonjwa waliogua mda mrefu na wenye bp, sijui visukari, ndo Mana yatupasa kuwa makini ukiwa na watu wa hivo kuwakinga kwa sababu ya immunity, mie nilipo staki hata kukutana na ndugu watu wazima maana kwa trend ya huu ugonjwa you never know. Mnazareth,

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuelewa cariha lakini kwa Mzee augustino Ramadhani sio case Hiyo!!

Tunapoelekea sasa kila atakayefariki itaonekana ni Corona.

Kweli Corona ni gonjwa la hatari lakini si gonjwa pekee linalohatarisha maisha ya mwanadamu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom