witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,710
- 47,099
MweehYani huu mstari waislam kila mmoja anaandika kivyake,kama hamjaenda madrasa andikeni tu kiswahili!
"Sisi sote ni waja wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea".Hii ni rahisi zaidi kuliko kujifanya waarabu weusi.