Tanzia: Imamu auawa akiongoza Ibada Msikitikini Nchini DRC

permanides

JF-Expert Member
May 18, 2013
5,549
2,000
uongo upi?! vitisho vipi?!....kuambiwa kuwa ukifa ukizikwa utakutana na balaa au neema ni vitisho au uhalisia?!...kufa halafu utuletee mrejesho..
kuhusu mauaji aliyeua red indies, syria, afghanistan, mongolia enzi ya tatar, sri lanka ,libya na wengineo ni uislamu?!..
zungumza kwa facts mkuu, ila ukifa utakutana na uliyoyatanguliza hata ukijipa matumaini, no way..
Uliwahi kufa ukayaona hayo unayoyasema?

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
witnessj

JF-Expert Member
Mar 22, 2015
21,449
2,000
Yani huu mstari waislam kila mmoja anaandika kivyake,kama hamjaenda madrasa andikeni tu kiswahili!
"Sisi sote ni waja wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea".Hii ni rahisi zaidi kuliko kujifanya waarabu weusi.
Mweeh
 
Otterhound

JF-Expert Member
Sep 10, 2016
1,421
2,000
Mtu akitaka kuomba maji kwa kiswahili atasema

"Naomba maji."

Kwa kiarabu atasema

"Aetani ma'an"

Kwa kibena atasema

"Ndisuha lulenga"

Na hawa watu watatu, aliyeongea kiswahili, kiarabu na kibena wote watapewa maji kama yapo na kama hayapo watajibiwa hakuna.

Sasa kama hizo lugha zote zinafikisha ujumbe ubora wa kiarabu uko wapi kuzidi lugha zingine?

Umuhimu wa lugha hii unazidi kukua kila siku kwa sababu ya kutumika kwenye maeneo ya katikati ya ulimwengu baina ya mabara ya kale (Afrika, Asia na Ulaya) na mabara mapya ya ulimwengu (Amerika ya Kaskazini na Kusini).
 
Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
21,761

Mkuu kilatini kipo sehemu zote. Kwenye sheria, uchumi, sayansi n.k yaani hata waTanzania tunalazimishwa kujua misamiati ya kilatini.

Katika jeshi la Marekani kuna amri zinatolewa kilatini.

Kiarabu kipo kwenye nini na nini?

Nchi zenye nguvu kiuchumi zikikutana zinatumia lugha gani?

Wewe leo ukidondoka South Africa tu hapo utatumia lugha gani kuwasiliana?
 
MAPITO Mwanza

JF-Expert Member
Aug 21, 2018
1,488
2,000
Kiongozi mkubwa wa Kiislamu mashariki mwa DRC ameuawa kwa kupigwa risasi wakati akisali kwenye msikiti mkuu mjini Beni.

Mtu mwenye silaha alimfyatulia risasi Sheikh Ali Amini wakati wa suala ya Magharibi siku ya Jumamosi kisha akakimbia, mwanaharakati wa haki za binadamu ameeleza.

Kiongozi huyo alikuwa akikemea vitendo vya wanamgambo wa kiislamu kwenye eneo hilo, Shirika la habari la Reuters limeripoti.

Mashariki mwa Congo imekumbwa na hali mbaya ya usalama, ikiwemo mashambulizi yanayodaiwa kutekelezwa na kundi la wanamgambo wa Kiislamu (IS)
Dah pomeni sana
 
Bensonpeace

JF-Expert Member
Jun 2, 2017
532
500
Teh teh waraab weusi shida sana mmezoea kizaramo , na kinyamwezi waacheni waarab na lugha yao acheni kuwa watumwa
Yani huu mstari waislam kila mmoja anaandika kivyake,kama hamjaenda madrasa andikeni tu kiswahili!
"Sisi sote ni waja wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea".Hii ni rahisi zaidi kuliko kujifanya waarabu weusi.
 
Emiir

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
24,797
2,000
Mkuu kilatini kipo sehemu zote. Kwenye sheria, uchumi, sayansi n.k yaani hata waTanzania tunalazimishwa kujua misamiati ya kilatini.

Katika jeshi la Marekani kuna amri zinatolewa kilatini.

Kiarabu kipo kwenye nini na nini?

Nchi zenye nguvu kiuchumi zikikutana zinatumia lugha gani?

Wewe leo ukidondoka South Africa tu hapo utatumia lugha gani kuwasiliana?
Chief, hata huku South Africa wanasoma kiarabu!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom