Tanzia: Imamu auawa akiongoza Ibada Msikitikini Nchini DRC

Yani huu mstari waislam kila mmoja anaandika kivyake,kama hamjaenda madrasa andikeni tu kiswahili!
"Sisi sote ni waja wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea".Hii ni rahisi zaidi kuliko kujifanya waarabu weusi.
Mweeh
 
Mtu akitaka kuomba maji kwa kiswahili atasema

"Naomba maji."

Kwa kiarabu atasema

"Aetani ma'an"

Kwa kibena atasema

"Ndisuha lulenga"

Na hawa watu watatu, aliyeongea kiswahili, kiarabu na kibena wote watapewa maji kama yapo na kama hayapo watajibiwa hakuna.

Sasa kama hizo lugha zote zinafikisha ujumbe ubora wa kiarabu uko wapi kuzidi lugha zingine?

Umuhimu wa lugha hii unazidi kukua kila siku kwa sababu ya kutumika kwenye maeneo ya katikati ya ulimwengu baina ya mabara ya kale (Afrika, Asia na Ulaya) na mabara mapya ya ulimwengu (Amerika ya Kaskazini na Kusini).
 
Mkuu kilatini kipo sehemu zote. Kwenye sheria, uchumi, sayansi n.k yaani hata waTanzania tunalazimishwa kujua misamiati ya kilatini.

Katika jeshi la Marekani kuna amri zinatolewa kilatini.

Kiarabu kipo kwenye nini na nini?

Nchi zenye nguvu kiuchumi zikikutana zinatumia lugha gani?

Wewe leo ukidondoka South Africa tu hapo utatumia lugha gani kuwasiliana?
 
Kiongozi mkubwa wa Kiislamu mashariki mwa DRC ameuawa kwa kupigwa risasi wakati akisali kwenye msikiti mkuu mjini Beni.

Mtu mwenye silaha alimfyatulia risasi Sheikh Ali Amini wakati wa suala ya Magharibi siku ya Jumamosi kisha akakimbia, mwanaharakati wa haki za binadamu ameeleza.

Kiongozi huyo alikuwa akikemea vitendo vya wanamgambo wa kiislamu kwenye eneo hilo, Shirika la habari la Reuters limeripoti.

Mashariki mwa Congo imekumbwa na hali mbaya ya usalama, ikiwemo mashambulizi yanayodaiwa kutekelezwa na kundi la wanamgambo wa Kiislamu (IS)
Dah pomeni sana
 
Teh teh waraab weusi shida sana mmezoea kizaramo , na kinyamwezi waacheni waarab na lugha yao acheni kuwa watumwa
Yani huu mstari waislam kila mmoja anaandika kivyake,kama hamjaenda madrasa andikeni tu kiswahili!
"Sisi sote ni waja wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea".Hii ni rahisi zaidi kuliko kujifanya waarabu weusi.
 
Mkuu kilatini kipo sehemu zote. Kwenye sheria, uchumi, sayansi n.k yaani hata waTanzania tunalazimishwa kujua misamiati ya kilatini.

Katika jeshi la Marekani kuna amri zinatolewa kilatini.

Kiarabu kipo kwenye nini na nini?

Nchi zenye nguvu kiuchumi zikikutana zinatumia lugha gani?

Wewe leo ukidondoka South Africa tu hapo utatumia lugha gani kuwasiliana?
Chief, hata huku South Africa wanasoma kiarabu!
 
Na hata TZ kinafundishwa.

Ila ndiyo umeanguka huko SA utaongea kiarabu na watu wangapi?
Ulimwengu ni zaidi ya uujuavyo chief, niko South hapa na wazulu wanachapa Kiswahili na Kiarabu kama maji.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom