Tanzia: Diwani wa CCM Ifakara afariki dunia!

Sisi n wamwenyez na kwake tutarejea
nenda salama kaka rama kijana mdogo uliekuwa mfano wa kuigwa

tunamengi yakujifunza toka kwako
 
Sisi n wamwenyez na kwake tutarejea
nenda salama kaka rama kijana mdogo uliekuwa mfano wa kuigwa

tunamengi yakujifunza toka kwako

Mkubwa! Kweli jamaa alikuwa kijana,ila hapo kwenye red unataka tujifunze nini toka kwake? Hivii jamaa ulikuwa unamjua in deep? Mbona jamaa alikuwa cRizki tangu akiwa tashrifu! Kwa ufupi jamaa hakuwa na lolote la kuigwa,kijamii, kisiasa na hata kiutendji. Alikuwa na kiburi.
 
Bwana alitoa na Bwana ametwaa.
Pumzika kwa amani.
Dunia inafujo nyingi na masumbufu, marehemu ni shahidi wa hilo, maana kwenye mbio za udiwani aliona mengi!

Wadau, nawaomba tusianze kuongelea mambo ya nafasi ya udiwani, maana tayari wengine wakisikiaga vifo vya wenzao udenda unawatoka!
Tuongelee kuhusu kumpumzisha mwenzetu.

Mkuu wacha maneno yako!
Hata Musa alipokufa wana wa Israel walimwuliza Mungu kwamba ninani atakayekwea juu yao, atakayepigana na adui zao!

R.I.P. Diwani, bwana alitoa na sasa ametwaa jina lake libarikiwe
 
Pumzika diwani...lakini uwe diwani wa Ifakara halafu unafia Muhimbili..?vipi pale St francis huduma hakuna marehemu diwani wangu?
 
Alale kwa amani ipi wakati alikua bingwa wa uchakachuz.afetu huyo na akajionee adhabu yake huko sisi tunaendelea na m4c,ukiipinga chadema lazima ufe mapema sauti ya weng nisauti ya mungu,japo hii kaulimbiu wa nataka kuiba watu wa mabwe
 
Bwana akuweke sehemu atakayo yeye mwenyewe,ni muda wa kwenda moja kwa moja Ifakara kwa sisi Chadema kulichukua jimbo
 
Mkuu wacha maneno yako!
Hata Musa alipokufa wana wa Israel walimwuliza Mungu kwamba ninani atakayekwea juu yao, atakayepigana na adui zao!

R.I.P. Diwani, bwana alitoa na sasa ametwaa jina lake libarikiwe
Mkuu,
Kasome vizuri Kitabu cha Kutoka.
Waliuliza hivyo baada ya taratibu zote za Mazishi kufanyika.
 
Bwana alitoa na Bwana ametwaa.
Pumzika kwa amani.
Dunia inafujo nyingi na masumbufu, marehemu ni shahidi wa hilo, maana kwenye mbio za udiwani aliona mengi!

Wadau, nawaomba tusianze kuongelea mambo ya nafasi ya udiwani, maana tayari wengine wakisikiaga vifo vya wenzao udenda unawatoka!
Tuongelee kuhusu kumpumzisha mwenzetu.

...naunga mkono hoja 50% na siungi mkono hoja 50%...
 
Mkuu,
Kasome vizuri Kitabu cha Kutoka.
Waliuliza hivyo baada ya taratibu zote za Mazishi kufanyika.

Mkuu usichakachue biblia, ishu ni wananchi kujua ni nani sasa atakayemrithi marehemu.
Wakati watu wanaomboleza na kuzika, muda huo wanatakiwa kujadiliana yupi anaweza kuvaa viatu vya marehemu.
 
Back
Top Bottom