Sikuwa nimeoiona hii threadhttps://www.jamiiforums.com/jukwaa-...wa-ccm-ifakara-afariki-dunia.html#post5315573
Poleni wote mlioguswa na msiba huu.
Mimi sikumuomba yeye au wenzie nimemuomba Mungu labda uniambie mungu haipendi!Sidhani,yeye 'RAMADHANI' na wenzie,wanaikubali 'sara' hii!!
rafiki yetu na ndugu yetu lakini matendo yake ya ushoga hayapendezi
RIP .....
Sasa mbona mmeenda kufukua thread ya mwaka 2012?Kwani ndo wa jimbo la juakali?
Heee? Mi sikuangalia mkuuSasa mbona mmeenda kufukua thread ya mwaka 2012?
Lijualikali ndio alichukua udiwani baada ya Rama kufarikiKwani ndo wa jimbo la juakali?
Poleni sana wafiwa, Mungu awape Faraja.
Jana pia tulisikia Diwani mwingine wa CCM kule Monduli amefariki dunia.
Naona Nape na Mwigulu sasa Jasho lishaanza kuwatoka maana......