Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 5,156
- 7,696
Raha ya milele umpe ee Bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa Amani!
Sidhani,yeye 'RAMADHANI' na wenzie,wanaikubali 'sara' hii!!
Raha ya milele umpe ee Bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa Amani!
Alale kwa amani ipi wakati alikua bingwa wa uchakachuz.afetu huyo na akajionee adhabu yake huko sisi tunaendelea na m4c,ukiipinga chadema lazima ufe mapema sauti ya weng nisauti ya mungu,japo hii kaulimbiu wa nataka kuiba watu wa mabwe
Mkubwa! Kweli jamaa alikuwa kijana,ila hapo kwenye red unataka tujifunze nini toka kwake? Hivii jamaa ulikuwa unamjua in deep? Mbona jamaa alikuwa cRizki tangu akiwa tashrifu! Kwa ufupi jamaa hakuwa na lolote la kuigwa,kijamii, kisiasa na hata kiutendji. Alikuwa na kiburi.
Raha ya milele umpe ee Bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa Amani!