Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,561
- 217,865
Asante watu wa kaskazini kwa kujaliana.Mwenyekiti wa chadema morogoro kafa kwa ule mlipuko wa mafuta hamkutoa tangazoSawa
Na watu wa bukoba walipata tetemeko hakuonekana 'chief comforter' kule.Asante watu wa kaskazini kwa kujaliana.Mwenyekiti wa chadema morogoro kafa kwa ule mlipuko wa mafuta hamkutoa tangazo
Rip huu ni msiba wa kitaifa kwan Tanzania imepoteza mtu muhimu sana kwa maslai mapana ya uzalendo
Hajafa acha uchawiAsante watu wa kaskazini kwa kujaliana.Mwenyekiti wa chadema morogoro kafa kwa ule mlipuko wa mafuta hamkutoa tangazo
Unawanga mchanaNaye alikuwa kiongozi wa wasiojulikana?
Maana siku hizi akifariki mtu utasikia bavichaa wanasema alikuwa kiongozi wa waliompiga risasi Lisu
Akawadhurumu pesa waliyochangiwa, akaenda kujenga uwanja wa ndege kwao!Na watu wa bukoba walipata tetemeko hakuonekana 'chief comforter' kule.
Labda ni fedheha kuwa na Chairman kibaka.Asante watu wa kaskazini kwa kujaliana.Mwenyekiti wa chadema morogoro kafa kwa ule mlipuko wa mafuta hamkutoa tangazo
Acha ujinga weweAsante watu wa kaskazini kwa kujaliana.Mwenyekiti wa chadema morogoro kafa kwa ule mlipuko wa mafuta hamkutoa tangazo
Undugu umeanza lini?Chadema poleni sana ndugu zetu!
Poleni!
Ukabila umekumaliza hadi umebakia mifupa mitupuAsante watu wa kaskazini kwa kujaliana.Mwenyekiti wa chadema morogoro kafa kwa ule mlipuko wa mafuta hamkutoa tangazo
Mkuu, je, na huyu nae kakutana na mkono wa Mungu kama yule kiongozi wa wasiojulikana?Ukabila umekumaliza hadi umebakia mifupa mitupu