Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,790
- 35,773
Sasa unaona sifa mwanaume mzima kujitangaza unafukuliwa kinyesi?Najigongaje wakati pesa huna, ingekua nazo ningeshakupata zamani, usinikaushe uzazi katafute pesa , umbea tuachie wanawake