TANZIA: Bilali Mashauzi afariki dunia

TANZIA: Bilali Mashauzi afariki dunia

nimecheka mpaka chozi nyie huwezi amini matola nae alikuwa na wababe wake walileta mpaka screenshot ya no yake,yani walimnyanyasa alafu ilikuwa ukijifanya kumsaidia wanakumix na wewe sijui ilikuwa ni nyie ila hapana wale walijipanga haswa alafu walikua vijana nahisi wasio na kazi
Don't believe everything you read, sina mawasiliano wala ushikaji na kichaa yeyote hapa JF, watu wote ambao tunajuwana ni watu wanaojiheshimu, sifa ya mtu kujiheshimu ni pamoja na kuheshimu wengine.

By the way ngoma za watoto hazikeshi wako wapi leo?

Magufuli sometimes anastahili pongezi kwa kutunyooshea mijitu mijinga lazy they're good for nothing kushinda mitandaoni kumwaga matusi, kwa sasa wanasomeshwa namba za kirumi na Jiwe letu.
 
ni kweli jf ilikuwa unaweza kuzushiwa lolote na watu wakashabikia
mimi pia ni muhanga wa mengi kuzushwa humu
 
Msibani naona watajaaa mashoga wa Kila Namna!

Ova
 
Kuna mkaka mmoja magomeni nilienda kusuka .jamani alikuwa anawaponda mashoga mno.kumbe huyo mkaka alitembea na shoga. Mashoga wengine hawana siri .wacha aelezee a to z.kwa hiyo watu wanafiki wapo
 
Mi ndo nilikua nakula ban kila siku, nafungua fekero nashindwa kujizuia kujificha nilivyo mbea najifanyia umbea hadi Mimi mwenyewe, najitaja kabisa Mimi warumi naanza kuchambwa wanani ban tena, yan ilikua balaaa uwiii

Hahahahahaaaaa....Yaaaani umenichekesha saaana. Kweli wewe umekubuhu kwa umbea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom