queen matara
Member
- Apr 29, 2011
- 40
- 64
Jina lake halisi alikuwa no BENJAMIN KIKOTI. Umaarufu wake ulikuwa mkubwa Wakati wa vita yetu na Uganda. Huyo jamaa alikuwa anaripoti akiwa mstari wa mbele. RIP Kikoti
Tanzia
Aliekuwa Mtangazaji maarufu wa radio Tanzania (TBC) mzee BEN KIKO amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo 31/10/2014 kwenye hospital ya jeshi mirambo Tabora.
R.I.P BEN
UMEWASAHAU dominic chilambo ,masoud masoud na sekioni kitojoNamkumbuka ben kiko enzi hz rtd, ilikuwa rtd kweli,siyo hawa wahuni wa sk hz,ben akisoma habari ya majanga au maafa mwili unakusisimka, waandishi ninaowakumbuka ni situnga steven, jacob tesha paul, karim besta,ahmed kipozi,sala dumba,malima ndelema kipindi chake cha mkoa kwa mkoa,bujaga kizengo kadago,
Jina lake halisi alikuwa no BENJAMIN KIKOTI. Umaarufu wake ulikuwa mkubwa Wakati wa vita yetu na Uganda. Huyo jamaa alikuwa anaripoti akiwa mstari wa mbele. RIP Kikoti
jina lake halisi ni HAMIS KIKOLONZI kikolonzi ni ubin wake sasa alikuwa anajiita ubini wake BEN KIKO alikuwa mrefu mtu wa huko tabora alipo kuwa dodoma alikuwa mcheshi kwa kila mtu polen watani zangu wa Tabora
Hapana alikuwa anaitwa Bernard Kikoloma.alale pema.
anaitwa Ben Hamis Kikoromo na sio hivo ulivomuita