Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 31,876
- 33,308
Poleni sana familia ya Jaka Mwambi,pole sana Mzee Jakaya Kikwete,moja ya rafiki yako kipenzi katangulia mbele ya haki.
Nilitegemea usubiri nasi tukupe pole nawe waanza kugawa pole
Poleni sana familia ya Jaka Mwambi,pole sana Mzee Jakaya Kikwete,moja ya rafiki yako kipenzi katangulia mbele ya haki.
Huyu alipata kuwa balozi wa Tanzania nchini Russia? Kama ndie huyu watoto wake wako very simple hawana majivuni ya ajabu...
Apumzike kwa Amani...
Huyu alipata kuwa balozi wa Tanzania nchini Russia? Kama ndie huyu watoto wake wako very simple hawana majivuni ya ajabu...
Apumzike kwa Amani...
Aise My Condolesence, to His Family Mzee alikuwa mtu wa watu sana...Ndiyo yeye.....
Aliwahi kuwa mkuu wa mkowa Tanga.
Niko kwenye msiba hapa nyumbani kwa barozi mstaafu mzee wetu Bw. Jack Mwambi ambaye ametutoka muda so mrefu
Niko kwenye msiba hapa nyumbani kwa barozi mstaafu mzee wetu Bw. Jack Mwambi ambaye ametutoka muda so mrefu
Muda huu huu alikua anajieleza kuhusu huo ujinga. Yuko selo moja na yule jamaa aliyekua usalama yule mtoa kucha. Chumba kimejaa siafu, mbu na kunguniHuyu jamaa aliwahi pokea Ada za wanafunzi waliokuwa wanasoma Ukraine na Urusi akazila, wanafunzi wakafukuzwa hostel na serikali ikaamua kuwarudisha watoto wa watu wakiwa wameshapoteza wengine miaka miwili Hadi mitatu
Huyu jamaa aliwahi pokea Ada za wanafunzi waliokuwa wanasoma Ukraine na Urusi akazila, wanafunzi wakafukuzwa hostel na serikali ikaamua kuwarudisha watoto wa watu wakiwa wameshapoteza wengine miaka miwili Hadi mitatu
Jikate mzee, staki maelekezonjoo bas mwaya shemale langu
EeehWe nyoko kule pm nshakudisi, usinifate fate, katafute shoga mwenzio
DametiUmekosa malezi ya pande mbili, marehemu hasemwi vibaya misiba ya Kiafrika, tunatakiwa kufunika na kusahau kila ushetani wake na kumsifia kwa mapambio.
Japo Mungu mwenyewe hasahau, anakufufua, anakuchomelea moto!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Alikufaga kibaka tulipika na ubwabwa tukakesha na kigodoro marehemu hasemwi hiyo vibaya veeeepe.......Umekosa malezi ya pande mbili, marehemu hasemwi vibaya misiba ya Kiafrika, tunatakiwa kufunika na kusahau kila ushetani wake na kumsifia kwa mapambio.
Japo Mungu mwenyewe hasahau, anakufufua, anakuchomelea moto!
DuhHuyu jamaa aliwahi pokea Ada za wanafunzi waliokuwa wanasoma Ukraine na Urusi akazila, wanafunzi wakafukuzwa hostel na serikali ikaamua kuwarudisha watoto wa watu wakiwa wameshapoteza wengine miaka miwili Hadi mitatu